"Mwenye uzoefu tafadhali"

Kwani

JF-Expert Member
Jan 12, 2016
455
562
Matokeo ya kidato cha nne yametoka na ufaulu wangu sio mzuri sana naomba ujuzi wenu katika hili
-utoaji wa post unazingatia kitu gani?
-me nataka nisome CBG Mfano nkapangiwa comb nyingine inakuwaje?
-unaweza kuhama shule uliochaguliwa na kwenda nyingine?
Note:nina II ya 19
ntashukuru nkipata majibu mazuri
 
Matokeo ni haya
chem C
biology C
English A
Physic D
Mathe D
hist C
kiswa C
civic C
geo C
 
Back
Top Bottom