UWEZEKANO WA KUPATA ADVANCE KWA DVS IV YA 26

raphalena

Member
Oct 2, 2011
32
4
Habari ya leo wana jamvi.
Mpwa wangu wakiume kapata for ya IV ya 26. Je anaweza kupata nafasi kuendelea Advance hata kwa private!? Kama haiwezekani ataweza kupata ualimu serikalini ama private? Je kuna vyuo vya afya anaweza pata?
MATOKEO YAKE NI
CIV ~D
His ~D
Kisw~ C
Eng ~C
Geo ~ D
Chem ~D
Bios ~ D
Math ~F
Phy ~F
Combination inayokaribia ni HKL
naomba mwenye uelewa please
Maana kuna watu wanasema hata Advance hapati private
 
Hapo hawezi kwenda advance kwa sababu kakosa credit tatu yeye anazo mbili tuu labda arudie mtihani ili apate credit moja ya kuongezea na ni nani kakuambia comb ya hkl imebalance
 
Private anaenda bila shida

Skuiz had point 10 unasoma advance ukizngatia matokeo sio mazur kiujumla.

Hapo ana CCD ya hkl ni point 10 hizo yan angekua na hata 3 ya 25 kwa point 10 unaenda advance..

Wakifaulu watu weng ndio huchukua point 9 yan atleast CCC

Tangu mwaka 2010 point 10 kweny combination unapata shule ya government kama una 3 na kama ni 4 basi private unasoma

##Sorry for mistaken##
Niliona vibaya hapo nikaona kama kuna C tatu tayar na zingine ni D
Kumbe C ni mbili tu...

Huyo hawez kwenda advance lazima awe na C tatu na point 10 incase comb haijabalance
 
Sawa nimeelewa na hivi ni kweli kusomea degree kwa watakao maliza form six mwezi wa tano ni division one na two naombeni msaada
 
Asanteni saana kcamp & R100

R100. Hiyo ya advance I & II nimeisikia pia but information is not from.a trusted source
 
Dah mbona sasa chuo tutakisikiaga tuu na haswahaswa sisi tunaofanya kama private candidate
 
Hapo kiukweli siyo rahisi kuchukuliwa advance kwa sababu sifa ni C 3 ili uweze kufanya mtihani wa kidato cha 6 hata private candidate.
Sasa kuna mambo mawili unaweza fanya ili ndoto zako zisipotee:
1.Endelea na Form Five huku ukisoma masomo ya O-LEVEL ili combi yako ikamilike.
2.Kupitia NACTE kuna kozi kibao ambazo unaweza kuomba na ukapata ajira baada ya kumaliza
NB:
Kumbuka mfumo wa NACTE ni mzuri sana,zipo kozi unaweza soma certificate,Diploma hadi Degree bila hiyo A-LEVEL.
Ikiwa utapenda msaada zaidi weka email yako nitakujulisha cha kufanya.
 
FATHER OF HISTORY nami nina mdogi wangu makunguester@gmail.com
 
Sawa nitatoa maelekezo Leo jioni kupitia email zenu na mapendekezo ya kozi mnazoweza soma,wale ambao matokeo yao hapa hayapo,nitumieni kwenye email yangu mamboleongoroto @yahoo.com,msiweke hapa hadharani
 
Private anaenda bila shida

Skuiz had point 10 unasoma advance ukizngatia matokeo sio mazur kiujumla.

Hapo ana CCD ya hkl ni point 10 hizo yan angekua na hata 3 ya 25 kwa point 10 unaenda advance..

Wakifaulu watu weng ndio huchukua point 9 yan atleast CCC

Tangu mwaka 2010 point 10 kweny combination unapata shule ya government kama una 3 na kama ni 4 basi private unasoma
Hivi hichi unachokiongea unakijua vizuri kweli wewe
 
Raphalena cheki chuo cha Serikali za mitaa Hombolo Dodoma,ukutubi Bagamoyo,utumishi wa Umma Singida,madini ESES shinyanga tayari wametoa matangazo,vyuo hivyo vinatoa kozi nzuri ambazo sifa zake ni D 4 tu, hivyo waweza pitia na kuchagua kozi uipendayo,ukitaka ushauri in kozi gani usome nitakusaidia,pia pale NACTE kunaorodha ya vyuo kibao na kozi uzipendazo, pia nao wameanza kupokea maombi
 
Habari ya leo wana jamvi.
Mpwa wangu wakiume kapata for ya IV ya 26. Je anaweza kupata nafasi kuendelea Advance hata kwa private!? Kama haiwezekani ataweza kupata ualimu serikalini ama private? Je kuna vyuo vya afya anaweza pata?
MATOKEO YAKE NI
CIV ~D
His ~D
Kisw~ C
Eng ~C
Geo ~ D
Chem ~D
Bios ~ D
Math ~F
Phy ~F
Combination inayokaribia ni HKL
naomba mwenye uelewa please
Maana kuna watu wanasema hata Advance hapati private
Huyo hawezi kwenda form five..inachotakiwa atafute hiyo credit moja iliyokosekana ndo ataweza kudahiliwa form five
 
Habari ya leo wana jamvi.
Mpwa wangu wakiume kapata for ya IV ya 26. Je anaweza kupata nafasi kuendelea Advance hata kwa private!? Kama haiwezekani ataweza kupata ualimu serikalini ama private? Je kuna vyuo vya afya anaweza pata?
MATOKEO YAKE NI
CIV ~D
His ~D
Kisw~ C
Eng ~C
Geo ~ D
Chem ~D
Bios ~ D
Math ~F
Phy ~F
Combination inayokaribia ni HKL
naomba mwenye uelewa please
Maana kuna watu wanasema hata Advance hapati private
 
Attachments

  • Screenshot_2016-03-14-10-26-38.png
    Screenshot_2016-03-14-10-26-38.png
    99.2 KB · Views: 83
Back
Top Bottom