NACTE siwaelewi

NileSat

JF-Expert Member
Mar 31, 2015
340
179
Ivi wakuu wanaopitia nacte ni course za afya na ualimu tu? mana web ndo naona imejaa college izo je sie wa engineering tuna apply direct chuoni au tunapitia nacte? sioni guidebook yetu
 
Japo sina uhakika sn, ila wanao omba kujiunga na Diploma na Certificates wote wanapaswa kuomba kupitia NACTE. Pia waliomaliza Diploma kuomba kujiunga na Bachelor, chuo chochote wanaomba kupitia NACTE.

Japo kuna Central Admission System (CAS) wameizindua mwezi uliopita, ukisoma maelezo ya Magazeti na mitandaoni wana maanisha Certificate, Diploma na Bachelor wote waombe kupitia CAS- NACTE. Ila hadi dakika hii wamebunda tu hata kuandika Page 2 tu kwenye website yao kutoa ufafanuzi wameshindwa, macho yote kwenye Admission fee (Tshs 20,000) per one course na Tshs 30,000 for more than one course selected!!
 
Wakuu Nina shida na entry requirements za certificate ya Ualimu....?

Mwenye Guide book aiweke hapa !

Au
Dogo Langu Ana div 29 , F ya Maths na masomo mengine Ana D tuu ( alisoma arts)
 
ajaribu certificate kisha diploma za kozi kama za pale ARU, kuna institute of Lands Dar es salaam wanatoa kozi hizo, sambamba atafaidi kuwa technician. Ualimu ni long chain to success utamuumiza aisee
 
Nina Dogo kapata DVD F4 27. Nishauri naweza kumuombea koz gan hasahasa chuo kiwe kanda ya ziwa na ada iwe nafuu.
 
Kila mtu anadai dogo na wasi wasi ni nyie wenyewe:(:D:D:D:D harafu mlivo na pressure kila uzi mnaudaka na kuweka tokeo zenu mkiulizia course huo ni ushamba au? uzi hauna mantiki ya Course zenu nyie mnauvaa watoto brn bna
 
Hakuna limitations kwenye kuuliza mkuu! This is JF where people dare to talk openly.....

Then, Perceptions zako kuwa kila anaepita hapa ni Product ya BRN unakosea!

Toa msaada kama umeelewa , ngojera peleka social forums kule...

Idiot
 
Back
Top Bottom