Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Baada ya serikali kukaa kimya kwa kipind kirefu sasa imeamua kupitia na kuhakiki majina ya wanufaika wa mkopo ya Elimu ya juu kupitia HESLB. Haya ni baadhi ya tu ya majina kati ya wanufaika wote (...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Wana jf habarini, naamini humu kuna walimu, wataalamu, wanafunzi na wote waliopitia katika suala zima la elimu, uzoefu wenu kama walimu, au wataalamu naamini naweza kupata msaada wa jambo...
1 Reactions
8 Replies
5K Views
When will the second selection for form FIVE 2016 be published? You can predict the publication of the form five 2016 second selection by referring back to when they were published last year...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
MSAADA TUKIPATA TATIZO TUPIGE WAPI SIMU.NAOMBA KUJUZWA HUO UJUMBE NI SMS TOKA NACTE.AU NATATUA KWA NJIA ZIPI?(At any point in time if you encounter any problem, do not hesitate to contact NACTE by...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, Nina tatizo, nimechanganya peni nyeusi na bluu kwenye kujaza fomu za kuombea mkopo HESLB. Je nifanyeje?
2 Reactions
35 Replies
7K Views
Hizi Website za TCU na NACTE.. Ni kero Tu Mtandao Una Jam kama nn. Ukizingatia watu wanao Apply Hawafiki hta Laki.. Ki website Kishajam... Sasa Wangekuwa wanamiliki Website kama Facebook ingekuwaje
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari, wakuu kuna mdogo wangu amefanya malipo M PESA toka Jana 26.07.2016 saa 7.04pm cha ajabu hadi sasa navyojaribu kumfanyia application inagoma nakutania na Ujumbe wa namna hii
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Ndugu zangu, Huku Musoma watu wanaendelea kuisoma namba na sasa wanautambua vyema ule wimbo wa ccm hasa kile kibwagizo kisemacho "CCM NI ILE ILE". Wazazi wenye wanafunzi wasomao shule ya sekondari...
3 Reactions
33 Replies
3K Views
Ndugu zangu habarini za sa hizi,mimi ninashida moja hivi kwa nilivyosikia et TCU wanavyopanga grades zinatofautiana na vyuo vingine kwa mfano sisi C inaanzia 50 na wao TCU hawana B+ sisi tunayo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamii Forums naomba msaada kujulishwa tatizo lipo wapi katika kutuma maombi na CAS kila nikijaza voucher namba kutoka TCU inaniletea meseji kwamba the namba inserted ipo invalid. Nimejitahidi sana...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nimetumia cheti cha kwanza ambacho kina credit moja tu najaribu ku add resit inagoma Majibu ni not passed What can I do? Msaada tafadhali
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari wakuu wangu waheshimiwa sana. Nina mdogo wangu wa kike kamaliza form six mwaka huu CBG matokeo yake ni DIV III ya 17 with : GS E Geog D Chem S Bios F Bam F Obvoius mpaka hapo hana...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, Jamani kama sikuchaguliwa nikiomba tena nalipia upya hiyo 50000 au 30000 au inatumika ile ya mwanzo?
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Naombeni msaada kwa anayeijuaa faculty ya Bachelor of Information Technology ( BIT ) inayofundishwa chuo cha NIT. Nawasilisha...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Habari zenu ndugu wana jamiiforum, ningependa kufahamu namna ambavyo ningeweza kutazama majina ya waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya afya kwa ngazi za stashahada na astashahada(2016) bila kupitia...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Habari wakuu,ningependa kuijuia kiundani zaidi programme ambayo najiandaa kuikabili kwa miaka mitatu pale ifm yani banking and finance...kwa wajuzi wa mambo je inacover aspect zipi?? Ni kitu gani...
1 Reactions
53 Replies
15K Views
Wakuu habari zenu. Naomba kuuliza ni fani ipi ni ya pesa nyingi halafu unapata ajira kwa uharaka zaidi kati ya Laboratory Technology na Pharmacy?
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Habari zenu wakuu Naomba msaada kuhusu nacte kutokana na kua niliapplay diploma in primary education inanionesha sijachaguliwa lkn ktk vyuo vyote inanionesha ninanafasi nisubiri second selection...
0 Reactions
1 Replies
824 Views
Jamani mwenye taarifa yoyote kuhusu matokeo ya bodi ya ya uhasibu naomba atujuze jaman tuone tulichovuna . asante. Napenda kuwataarifu kuwa orodha ya wanafunzi waliofaulu CPA imebandikwa kwenye...
1 Reactions
65 Replies
12K Views
wadau nimemaliza bcom-account pale mliman mwaka juzi 2012, sasa nataka nisome CPA kuanzia november mwaka huu, na nasikia kuna syllabus mpya, masomo gani yatanihusu. plz msaada
1 Reactions
35 Replies
14K Views
Back
Top Bottom