Chonde chonde nataka ku apply diploma ya ualimu NACTE, nisaidien wana JF

Padri Mcharo

JF-Expert Member
Feb 28, 2015
1,899
3,671
Habari wakuu wangu waheshimiwa sana.

Nina mdogo wangu wa kike kamaliza form six mwaka huu CBG matokeo yake ni DIV III ya 17 with :
GS E
Geog D
Chem S
Bios F
Bam F

Obvoius mpaka hapo hana qualification za kuomba degree TCU.
Sasa tumegeukia NACTE tuombe diploma za Nursing, Clinical officer na zingine kama hizo.
Huku nako pia situation is not condusive sababu wanahitaji O level mtu uwe Chem C, Bios C na Phy D wakat yeye ana D, D na E.

Nikaambiwa diploma ya ualimu ni last resort. Bahat mbaya (na hapa ndipo nilipo kwama) section ya ualimu NACTE siioni hawaja weka.

Sasa swali langu ni hivi wakuu :
Je nikitaka ku apply diploma ya ualimu niende wapi, ni kupitia NACTE kama diploma zingine ama kuna utaratibu mwingine??
Maana website ya NACTE sioni section ya ualimu. Kuna afya, biashara na kilimo tu.

Ama mnanishaur tuachane na diploma akaanze na certificate kwa kutumia cheti ya O level pekee.

Nisaidien wakuu wangu Maana deadline ni August 5.

Uinjinia wangu naweka pembeli.

#Chief Eng.
 
Sasa diploma kwa vipi tena wakati mwenyewe umekiri kwamba hauna vigezo mkuu??
 
Yani sijaelewa...unajiita chief injinia alafu....
Umesoma BAM
UNA "F" YA MATHS TENA BAM
HUJASOMA PHYSICS
ZAIDI YA YOTE UNATAKA APPLY TEACHING DIPLOMA

JAMANI TUACHENI UTANI NA PROFESSION ZA WATU TUNAZOHANGAIKIA MIAKA 4 CHUONI!!
Mbona km kasema ni mdogo wake.au mi ndo sijaelewa
 
Back
Top Bottom