Kati ya Pharmacy na Laboratory Technology, ipi ni fani yenye maslahi makubwa?

dr lumilo

JF-Expert Member
May 26, 2016
271
67
Wakuu habari zenu.

Naomba kuuliza ni fani ipi ni ya pesa nyingi halafu unapata ajira kwa uharaka zaidi kati ya Laboratory Technology na Pharmacy?
 
Duuih mkuuu lengooo ni kupata ajiraa fasta na kupata pa kuanzias kamtajii
 
Yani. Badala kujiandaa na kujiajiri unataka uajiriwe!

Bora tu wakoloni warudimo maana hamna namna sasa
 
ujasiriamali ndio kila kitu hizo elimu tajwa hapo zinasubiri miaka mia! ila kwa kuanzia Pharmacy ina deal nyingi
 
Ili kusomea hizo fani unatakiwa uwe na elimu gani kama ni form four awe na division ngapi? Na ni vyuo gani vilivyosajiliwa vinatoa hizo kozi
 
Matokeo yangu ya 4m4 ni math B, Phy C, Chem D, Bios D. Advance nilifanya PCM nikapata Phy D, Math D, Chem E. ACSSE 2014. Udom naruhusiwa kusom diploma ya lab technology. Swala ni kwamba naofia kusoma alafu badae nikaambiwa sina sifa za kusoma diploma za afya kwakua nina D ya Biology, wadau hili lipoje kam vip ni apply.......
Ikumbukwe kua fom6 hapo sina principal pass isipokua nina pass mbili na unsatisfactory moja
 
Back
Top Bottom