Inakuwaje iwapo grade za TCU ni tofauti na za chuo niliposomea diploma?

Jul 17, 2016
46
62
Ndugu zangu habarini za sa hizi,mimi ninashida moja hivi kwa nilivyosikia et TCU wanavyopanga grades zinatofautiana na vyuo vingine kwa mfano sisi C inaanzia 50 na wao TCU hawana B+ sisi tunayo inaanzia 75 je kuwajudge wanafunzi waliomaliza diploma kutoka kwenye vyuo kama vyetu itakuaje
ASANTENI
 
Download hii inaelezea vizuri: REVISED_ADMISSION_CRITERIA_2016_TCU.pdf
 
Back
Top Bottom