Nawezaje kuangalia majina ya waliochaguliwa vyuo vya afya?

Mudhyd

JF-Expert Member
Jul 17, 2013
492
507
Habari zenu ndugu wana jamiiforum, ningependa kufahamu namna ambavyo ningeweza kutazama majina ya waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya afya kwa ngazi za stashahada na astashahada(2016) bila kupitia central admission system(CAS) katika profile ya mhusika.
Kama suala hilo linawezekana naomba kufahamishwa kwa namna yoyote hata kwa kunipa link yake
 
Hilo suala aliwezekani wewe fuata maelezo kama walioyatoa nacte kujua umejaguliwa chuo gani ukitaka kuona majina yote funga safari mpaka chuo husika utaona orodha ya majina waliochaguliwa hapo
 
Back
Top Bottom