Kujaza fomu ya TCU kwa resiters

daraja la kigamboni

JF-Expert Member
Apr 28, 2016
2,804
2,628
Nimetumia cheti cha kwanza ambacho kina credit moja tu najaribu ku add resit inagoma
Majibu ni not passed
What can I do?
Msaada tafadhali
 
unaandika no yako ya pili yenye matokeo mazur i min yu start with P0804/XXXX/2015
Ndio, lakini haiendi.
Username ni namba ya School Candidate, baada ya hapo ndo unaenda kwenye ku-add ile ya ku-resit. Lakini cha kushangaza inagoma kabisa. Ukienda kwa Tab ya Add ili u-Add O-Level sitting page ina-fail.
Tatizo ni nini? Kama matokeo hayajawekwa kwa database ya TCU basi watuwekee maana muda unaisha
 
mkuu uli resit mwaka gani maana hilo tatizo ni la wengi kama mimi ila nimewasiliana nao leo tcu wakasema wanalishughulikia hilo tatizo maana matokeo ya ku resit hayakuwekwa kwenye system
 
mkuu uli resit mwaka gani maana hilo tatizo ni la wengi kama mimi ila nimewasiliana nao leo tcu wakasema wanalishughulikia hilo tatizo maana matokeo ya ku resit hayakuwekwa kwenye system
Mimi nimefanya mtihani mwaka 2014 form four PC
 
Ndugu, samahani naomba kujuzwa kuhusu kuomba chuo kupitia TCU kwa mwanafunzi ambaye alirudia mtihani kidato cha nne,ni namba gani inaandikwa ,ni ile aliyorudia mtihani ama ile aliyofanyia mtihani kwa mara ya kwanza kabla ya kurudia?
Natanguliza shukrani za dhati
 
Mimi najaribu ku-re-order priorities zangu lakini wapi inanipa CAS inanipa error hii hapa.
========================

Error Number: 1062

Duplicate entry '27198-3' for key 'indx'

UPDATE `tbl_selected_programs` SET `Priority` = '3', `userid` = '27198' WHERE `id` = '181729'

Filename: /var/www/html/casv3/models/application_model.php

Line Number: 126
 
Back
Top Bottom