Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Nia ya kisiasa ya kuifanya Tz ya viwanda itakuwa ni hadithi kwa hizi grade mpya za A-Level. kwa sasa PCM, PCB, PGM, CBA, CBG na comb nyingne za sayansi weng wao wanasoma kwa malengo ya kupata D...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Nina Gpa ya 3.2 na form six nina DDE nataka kuply university, mnanisaidie wadau nitumie cha Dip au cha six ,ushaur wadau
1 Reactions
23 Replies
5K Views
Ndugu wana jf, habari, polen na majukumu. Ninaomba kufafanuliwa kuhusiana na hii course kwa upande wa O-level. Je mtu mwenye D4 kidato cha nne anaruhusiwa kuomba course hyo? Taratibu za maombi...
0 Reactions
25 Replies
9K Views
Civ B history C English D kisw B Geo C bios C chemistry B mathematics C physics sikufanya ilikuwa division II 18. Je naweza chaguliwa kusoma(Co) clinical officer nikiapply nacte? Naomba...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wana jf naomba ushauri wenu kozi ipi iko powa kuisoma kati ya hizi diploma in clinical medicine na diploma in pharmacy
0 Reactions
1 Replies
709 Views
Wakuu,kuna mdogo angu amemaliza kidato cha sita,amepata Div 1..EC B, GEOG B,HISTORY C (HGE) , tatizo linalo msumbua ni F yake ya math o'levo na A' levo alipata F ya BAM. Anataka asome BAED...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Hakika waziri wewe ulikuwa miongoni mwa mawaziri mwaka 2014. Mliamua kusajili wanafunzi 2,000 UDOM kwa kuanzia credit moja ya "C" na mlichagua hadi watu ambao hawakuomba UDOM. Je ahadi yenu ya...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Ndugu zangu nataka niijue vizuri hiyo faculty msaada kidogo katika chuo cha udsm na ardhi...
0 Reactions
30 Replies
7K Views
Habari zenu waungwana,mie ni kijana ambaye kutokana na life kuwa gumu nimeonelea nikasomee mambo ya Video Camera au Camera man sasa napenda kufahamishwa ni chuo gani kizuri kwenda kusomea kwa hapa...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
NACTE wanajihusisha na Technical Institution mfano IFM, TIA, CBE nk na TCU wanajihusisha na Universities mfano UDSM, UDOM nk. Technical Institutions nao pia wanatoa bachelor degrees, diploma...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndugu wana jf natumaini hamjambo Nina matatizo kidogo katika profile yangu. Niliapply NACTE kozi ya Afya na Education na walipotoa selection sikuwemo ikanibidi KUEDIT vyuo. Baada ya siku kama...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Kwa udahili wa kuweka vigezo sawa baina ya wanafunzi wa sayansi na Arts nina wasiwasi sana huenda tukakosa wanasayansi siku za mbeleni na kulazimika kuazimia toka nchi kama RWANDA Katika mfumo...
2 Reactions
34 Replies
4K Views
Kutoka fb ya HESLB: (i) What should employer do when recruiting new graduates? · According to Higher Education Students’ Loans Board Act No. 9 of 2004 (as amended), employer should notify the...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Naombeni msaada wenu waungwana. Iwapo mtu alifanya mtihani wa ACSEE na akapata matokeo ambayo hayakumridhisha ingawa yana mruhusu kujiunga na elimu ya juu ,Je ana ruhusiwa na NECTA kurudia mtihani...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Nimekosea kujaza namba ya kitambulisho wakat najaza online nimeweka no zangu za kitambulisho..hlf ktk fomu nimepeleka no zingine naomba msaada nifanyaje
0 Reactions
0 Replies
43K Views
KABENDE.COM: WANACHUO 1168 WA PROGRAMU YA STASHAHADA YA UALIMU WA ELIMU YA MSINGI KUTOKA UDOM KWENDA VYUO VYA UALIMU
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wanajukwaa, naomba kuuliza kuhusu case hii inayomhusu rafiki angu. Mwaka jana yaani 2015/2016 aliomba kusomea TECHNICIAN CERTIFICATE ya kozi flani ya afya miaka miwili katika chuo flani...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mwafaka wa wanafunzi 94 wa ST. Joseph waliokuwa wakisoma ualimu wa masomo ya sayansi upoje?
0 Reactions
0 Replies
572 Views
Nina Mdogo wangu anataka kujiunga na chuo cha Madini Dodoma , Je ni kozi ipi itamfaa kati ya Petroleum and geoscience na mining engineering
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Nilipata code za mpesa nikaanza kuapply nacte cha ajabu hakuna username wala password niliyoipata ktk email nifanyeje msaada pls
0 Reactions
0 Replies
730 Views
Back
Top Bottom