Msaada: Code za M-PESA zinagoma kufanya usajili TCU, ni zaidi ya masaa 12 hadi sasa

apologize

JF-Expert Member
Jul 22, 2015
710
568
Habari, wakuu kuna mdogo wangu amefanya malipo M PESA toka Jana 26.07.2016 saa 7.04pm cha ajabu hadi sasa navyojaribu kumfanyia application inagoma nakutania na Ujumbe wa namna hii
 
Kwanza mimi nimepokea code aina mbili nimejaribu zote toka jana mpaka sasa bado sijafanikiwa....!
 
Kwanza mimi nimepokea code aina mbili nimejaribu zote toka jana mpaka sasa bado sijafanikiwa....!
Nahis system yao itakuwa ina shida kidogo, hzo code mbili umezipokeaje? Hebu jaribu hata kuandika namba tatu za mwanzo nijue?
 
Nahis system yao itakuwa ina shida kidogo, hzo code mbili umezipokeaje? Hebu jaribu hata kuandika namba tatu za mwanzo nijue?
Weee!...siwamesema hizo code ni siri...!!mimi naangaika nao kwenye namba za simu alizotoa, lakini kila mara ziko busy.
 
Sms aliyotumiwa dogo baada ya kutuma TCU imeandikwa Hivi?

3GQ5......confirmed 50000 received payment for University Transfer application your voucher no is IQH...
powered by Maxmallipo
 
HATA MIMI BADO INASUMBUA, WANALETA HIVI:......................
upload_2016-7-27_9-29-2.png
 
Attachments

  • upload_2016-7-27_9-28-25.png
    upload_2016-7-27_9-28-25.png
    48 KB · Views: 41
Ni aibu gani mngeacha hata mpaka mwezi wa nane muweke mambo sawa haraka hizi imebuma sasa.. 50000/= so expensive .... poor service
 
Ni aibu gani mngeacha hata mpaka mwezi wa nane muweke mambo sawa haraka hizi imebuma sasa.. 50000/= so expensive .... poor service
Kwan kosa liko wapi?. Kwan hyo pesa imepotea.. Cha muhimu ni vocha namb. Ambayo mtu unakuwa nayo tayari sema system inasumbua na hii si mara moja, nime experience toka mwaka jana, I hope badae itakaa sawa hata ukitaka kulog in haukubal ss hv
 
Vodacom tangu juzi haileweki,hata kwenye net,yaani page inaload kwa masaa matatu,naona system yao iko overloaded,
 
Vodacom tangu juzi haileweki,hata kwenye net,yaani page inaload kwa masaa matatu,naona system yao iko overloaded,
 
Mambo ya ajabu kwel wananpa presha kila Mara system aiko poa kabsa
 
Back
Top Bottom