Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Masada kuhusu environmental engineering Ardhi ni nzurii
0 Reactions
0 Replies
577 Views
Huu utaratibu wa kuchagua watu na kuwapa taarifa kuwa wamechaguliwa katika mojawapo ya kozi walizoomba, lakini uthibitisho utatoka kwenye chuo husika HAUFAI! Halafu huyu mtu ikitokea chuo...
15 Reactions
21 Replies
3K Views
Sintofahamu nyingi zinajitokeza na bado zinaendelea kutokea kutokana na hii taasisi inayosimamia elimu ya juu kukosa umakini na kuwajibika ipasavyo kwa makusudi au kwa sababu nyingine wanazozijua...
5 Reactions
55 Replies
6K Views
Miaka ya nyuma kabla ya mwaka 2016 ,kozi zote za ualimu zilipewa kipaumbele. Lakini kwa mwaka huu wa masomo 2016/2017 Serikali imefuta kipaumbele cha mikopo kwa masomo ya ualimu wa sanaa. Hii ni...
4 Reactions
35 Replies
7K Views
Hbr wakuu yeyote mwenye taarifa juu ya hii pesa ya mafunzo kwa vitendo(Field practical allowance)...ambayo serikali ilisema itatoa kwa awamu mbili lakini awamu ya pili ya pesa hizo haina hata...
0 Reactions
41 Replies
3K Views
Namshukuru mwanangu kuchaguliwa kozi ya kilimo baada ya mahangaiko mengi. Ila jambo moja limenisikitisha mtoto anatakiwa kuripoti 24/09/16 na Ada ya Tshs 1000000 awamu ya kwanza Taarifa ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wapendwa naomba kuuliza kwa yeyote anayefaham lolote kuhusu faculty hii inayopatikana Tumaini university!!
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Hii ni baada ya kulipa pesa ya kusajilia mdogo wangu, pesa imekwenda NACTE ila siwezi fanya chochote toka jana. NACTE liangalieni hili pia, kwani wengi watakoswa nafasi ya kufanya usajili kama...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
kwa yeyte anaekifaham hicho chuo naomba anipe maelekezo location na mazingira kwa ujummla na pia kama kuna mtu anamajina ya wanafunzi waliochaguliwa hapo naomba attachment hapa yyt iwe pdf,docs...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
jaman nisadieni nimesoma huu ujumbe sielew elew
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ndugu zangu Msaaada kidogo nina rafiki yangu naye kapigwa Chini first round. Na ivyo apo juu ndo alivyojaza saivi mnaonaje wadau yupo kweny risk ya kukosa tena Kama kakosea sehemu tuelekezane...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Hivi kweli chuo cha UDOM wanashindwa kuweka Prospectus kwenye web kweli? .... wameniboa sana
2 Reactions
30 Replies
4K Views
  • Poll Poll
wakubwa Shikamoo wadogo habari za jioni nimeapplay diploma in pharmaceutical na nyingine ya laboratory HAPO KIU matokeo yangu ni MATH.C PHYS.C CHEM.B BIOS.B+ je nitapata kweli na vp Kuhusu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
kuna dogo anasema aliapply kwa kufuata hatua zote kama zilivyoainishwa kwenye Guide book. Cha ajabu majibu yanatoka yanasema hajaaply first round wala kuchaguliwa provisionally. Na alidownload ile...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
wadau nauliza wale walochaguliwa kujiunga na diploma kupitia nacte ada yao inakua sawa na wale wa privt au wanapata ufadhili wa serikal???
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hivi ikoje umesoma kwa kingereza Leo hii ukamfundishe mwanafunzi wa shule ya msingi kwa kiswahili.... Je nikuikuza elimu ya Tanzania au kuididimiza,
0 Reactions
6 Replies
1K Views
kwa kuanza ni vyema tukaanza kujua Prof Shaban mlacha ni nani? Shabani Mlacha ni makamu mkuu wa chuo kikuu dodoma upande wa mipango, fedha na utawala, yeye ni msomi wa taaluma ya kiswahili ambaye...
2 Reactions
166 Replies
18K Views
habar humu, wadau mwaka huu ile diploma ya ualim wa kufundisha secondary ipo au ndo ishatolewa maana mwaka huu mambo yamebadlik sana
0 Reactions
17 Replies
8K Views
Wakuu nacte wameshatoa post kwa wale wa second round hebu chek profile zenu me nimetumiwa sms from nacte nimeambiwa nicomfirm nimechaguliwa C.O pale KS ROYAL MBEYA
0 Reactions
35 Replies
5K Views
Back
Top Bottom