Pesa ya field vipi mbona kimya

chibi

JF-Expert Member
Mar 21, 2013
240
65
Hbr wakuu yeyote mwenye taarifa juu ya hii pesa ya mafunzo kwa vitendo(Field practical allowance)...ambayo serikali ilisema itatoa kwa awamu mbili lakini awamu ya pili ya pesa hizo haina hata dalili na field tunaaelekea kumaliza wengine next week...sijui hata kama swala lenyewe linakumbukwa na serikali au ndo is over
Tutajijua wenyewe tutakavolipa madeni tuliyokopa Daaah hali hii sijui inasababishwa na nini
 
Vumilia tu....na hiyo kutoka si leo wa kesho....mlipewa nusu ya kwanza kupoozwa munkari!!!

Kwa sasa tuko busy kuamia dodoma, kununua kindege cha panga boi, kujenga kiwanja cha ndege!!! Nyie kwenye list mko mwishoni kabisa...nawaonea huruma sana
 
Wanajikausha kama washatoa yote..
Mwez nov wanatakiwa kutoa 720k kwa wanafunz 80k+ so kama hii ya wanafunz wasiofikia hyo idad wanashndwa kutoa 310k sijui nov itakuwaje...
Just Poor Mind
 
hapa wale wa field tunachezewa kikwembe. navyohisi mimi, magufuli na ndalichako wana fanya tafiti kama mtaweza kumaliza field wa laki 3 na 10, basi kuanzia mwaka kesho pesa ya field ni laki 3 na kumi.
ni mawazo tu nimefikiria hivyo..
ila kiukweli serikali haitutendei haki kabisa, sasa wale walio panga nyumba huko dield ndo majanga zaidi.
 
Back
Top Bottom