Wale wa NACTE hapa ipo vipi?

Wale wa NACTE hapa ipo vipi?

msury

Member
Joined
Sep 13, 2016
Posts
43
Reaction score
10
wadau nauliza wale walochaguliwa kujiunga na diploma kupitia nacte ada yao inakua sawa na wale wa privt au wanapata ufadhili wa serikal???
 
ufadhili wa wapi tena aiseee....unalipa ada kama kawaida ,,serikalini ndo nafuu..private ada zao wanachinja kishenzi.....ila nimeona wale wa certficate ya unesi mikoa ya kigoma tabora na mara kuna nafasi za kusomeshwa na amref zimetoka leo changamkia kama unaishi mikoa iyooo
 
kwa mfano kuna wale waloomba NIT directly na wengin kupitia nacte sasa apo wote wanalipa ada sawaaa ebu nielewesh vzr apo mdau
 
tafuta join instruction ya chuo ulichopangiwa ,,,ada ya vyuo vyote serikalini na private haifanani,,inategemea na course uliyochaguliwa ,,in genaral ada ya private ipo juu
 
mm nimepangiwa DIT kuptia NACTE na wengine wamepamgiwa apo lakin wao waliomba palepale chuon sasa ada wote tunalipa sawa???
 
Back
Top Bottom