Msaada: Chuo cha Marian (MARUCO)

Msaada: Chuo cha Marian (MARUCO)

Senator_4994

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2016
Posts
233
Reaction score
402
kwa yeyte anaekifaham hicho chuo naomba anipe maelekezo location na mazingira kwa ujummla na pia kama kuna mtu anamajina ya wanafunzi waliochaguliwa hapo naomba attachment hapa yyt iwe pdf,docs nk kuna ndugu yangu alikijaza na anadai profile yake ilionesha kachaguliwa huko sasa kwenye web yao majina kila nikidownload yanaonekana yame corupt ko hayafunguki msaada wa hayo majina ya watu wa bachelor 2016/17
 
HUMU KILA MTU NDUGU
 
It might be so
Chuo kipo bagamoyo mjini karibu kabisa na makumbusho ya kanisa katoliki(msalabani).

Mazingira yake kwa ujumla ni mazuri na karibu huduma zote muhimu zinapatikana.

Bila kusahau kwamba chuo kipo karibu kabsa na bahari na hotels za kitalii kama stella maris,paradise na oceanic bay.

Kwa ujumla si sehemu ya kujutia endapo utapangiwa kusoma.
 
asante sana mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom