Yani niliomba second round ..sasa nimerudi kucheki kweny profile nikitaka add program mana nimejaza course nne tu nilipotaka ni add ya tano nambiwa ivo..kwenye profile yang!! kwaiyo inamanisha...
Kwa wale waliochaguliw kujiunga katka chuo cha RAO HEALTH TRAINING CENTRE tukutane hapa Kwa ajil ya kujuzana mambo mbalimbali kuhusiana na hicho chuo.. ...Asanten
Naomba niulize wakuu, hivi hiki chuo cha Kampala international university kipo vipi? Kwani tunasikia mengi mpaka tunakiogopa.
Kama kuna mtu ana habari nacho please msaada kipo vipi kwani nina...
Serikali Yakataa Kuongeza fedha za kujikimu kwa Wanafunzi wa Vyuo Vikuu Wanaopatiwa mikopo Serikali Yakataa Kuongeza fedha za kujikimu kwa Wanafunzi wa Vyuo Vikuu Wanaopatiwa mikopo |...
wanajamii nina two ya -10 HKL nimekosa machaguo ya kwanza nimeomba
1..udsm bachelor o arts in tourism' remain capct 88
2..mwalimu nyerere bachelor in history and english,remain capct 127
3..udom...
Kumekuwa na tatizo kubwa sana la jinsi ya kuhifadhi vyeti vya taaluma, kuzaliwa na nyaraka nyingine muhimu mfano hati ya nyumba n.k.
So kwa wale mnaojua tunaomba elimu ya kina kuhusiana na hili...
Serikali kuwapangia shule walimu wa sayansi
Serikali imeanza kupanga walimu wa sayansi moja kwa moja katika shule badala ya Halmashauri kama ilivyokuwa awali ili kuleta uwiano sawa wa walimu...
Mwenye uelewa atusaidie.
TCU wameshusha GPA kutoka 3.5 to 3.0 kwa mwenye diploma anayetaka kuingia University kusoma degree. Ni waz kuwa waliokuwa chini ya GPA ya 3.5 kama ilivyotangazwa awali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.