Udom nacho sasa chuo hakuna bata wala neneeeeeeeeeIvi kweli chuo cha UDOM wanashindwa kuweka Prospectus kwenye web kweli?
Chuo cha kizee kabisa.... wameniboa sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Udom nacho sasa chuo hakuna bata wala neneeeeeeeee
Ivi kweli chuo cha UDOM wanashindwa kuweka Prospectus kwenye web kweli?
Chuo cha kizee kabisa.... wameniboa sana
Udom nacho sasa chuo hakuna bata wala neneeeeeeeee
Angalia vyuo vyote vinavyojielewa wanaweka prospectus kwenye mtandao... mi nmesoma ardhi na nlitaka kwenda kufanya masters pale ndo maanaWw uliza usaidiwe umechaguliwa program gani na sio kuanza kutafuta kiki zisizo na msingi...ww umepitia vyuo vingapi kuona kuwa wana prospectus?? Think big before you start complaining...
Pole sana ,hiyo ndo udom bwanaa, ukistaajabu mambo ya prospectus utashangaa, mambo ya maji, wataalamu, kukimbizana na FFU kila kukicha bila kusahau siasa za kijinga ndani ya chuo.Hivi kweli chuo cha UDOM wanashindwa kuweka Prospectus kwenye web kweli?
.... wameniboa sana
Hata sijaelewa chuo ambacho hakiweki prospectus yake kwenye mtandao kinafikiria nini?Angalia vyuo vyote vinavyojielewa wanaweka prospectus kwenye mtandao... mi nmesoma ardhi na nlitaka kwenda kufanya masters pale ndo maana
Udom nacho sasa chuo hakuna bata wala neneeeeeeeee
Hiv unajua kaz yake lkn!!!then hii ni website mpya !prospectus unayoitaka iliwekwa kwenye website iliyopita haimaanishi hakukuwa na prospectus kwny website!!af kaa ukijua prospectus haina uhusiano na ubora wa chuo wala cozwork be careHivi kweli chuo cha UDOM wanashindwa kuweka Prospectus kwenye web kweli?
.... wameniboa sana
Huwa inatokea unachaguliwa vyuo viwili inafikia hatua mkopo wako unaenda chuo kingneasiye uliza hana ajifunzalo! hivi tcu wanaweza kukusajiri kusoma vyuo viwili at the same time?