Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Nimemaliza kujaza second round application lakini nikitaka niprint for reference inagoma au second round hakuna kuprint
0 Reactions
9 Replies
1K Views
najua wengi mmekimbia somo la hesabu ila ukishndwa kujibu usahau maisha yako kujua hesabu
0 Reactions
100 Replies
10K Views
Wakuu, Nimeona malalamiko kibao kuhusu watu ambao hawajawahi kukopa kupewa notisi za kudaiwa na Bodi ya Mikopo. Nadhani hawa jamaa inabidi wajirekebishe. Kabla ya kutoa notisi za kudai kupitia...
2 Reactions
0 Replies
655 Views
Ivi ukiwa Na div four ya 26 unaweza somea ualimu kwa vyuo private
0 Reactions
14 Replies
7K Views
Wakuu tafadhali naombeni kama kuna mtu yeyote mwenye ufahamu kuhusiana na kozi hii inayotolewa udsm anijulishe natanguliza shukrani zangu kwenu.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Ndugu zangu naombeni Msaada kuhusu hivyo vyuo vizuri jamani vya education science kwa second round
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nahitaji kujua ni vyuo vipi bado vina capacity kwenye kozi za afya na elimu (sayansi na art).
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari zenu wadau!? Katika tangazo lililotolewa na TCU juu ya hatua za kufanya second round application wameonesha unaweza kujaza hadi vyuo vitano kwa wale waliokosa first round application lakini...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Ndugu zangu ngoja nitoe Msaaada kidogo maaana naona watu wanalalamika sana na hii yote ni sababu ya kutokujua michakato gani inatumika kudahili wanafunzi vyuo mbali mbali Somo kwa waombaji wa...
0 Reactions
1 Replies
842 Views
Mambo muhimu yanayochangia mtoto kupata elimu, yaani : (1) ajue kusoma na kuandika, (2) hisabati msingi (3) elimu ya maarifa mbalimbali kwa maisha ya umri wake. Yafuatayo yachukuliwe kuwa ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Za asuhuhiii, Nimekua nimesikia mijadala mingi humu jukwaani kuhusu hiyo lugha ya malkia, sasa nilikua naomba ufafanuzi, je kwa wale wa sanyansi hii lugha ni shida je kinaweza kua chazo cha...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Je renewble energy technology kwa hapa tanzania kunaajira??? kama zipo na unakuwa unajishughulisha na nini zaid?
0 Reactions
4 Replies
3K Views
The Eni Award annually honors the best research projects in the field of energy and sustainability and is addressed to scientists and researchers from around the world. Prizes include: - The...
0 Reactions
0 Replies
615 Views
Salaam, Nikiwa kama mdau wa elimu naipongeza sana Serikali hususani TAMISEMI kwa kuja na huu mpangi ambao kwa maoni yangu ukitumika vizuri utasolve matatizo makuu mawili. Kwanza utasolve tatizo la...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Nauliza kama kuna uwezekano wa kuhama faculty unapokua tayar selected kwenye chuo fulani kama unavigezo vya Hiyo faculty nyingine....sanasana kwa kwa chuo cha SUA
0 Reactions
3 Replies
892 Views
Nilikuwa nataka nichukue kozi ya mass communication tatizo wamenambia natakiwa niwe na credict ya English sasa mim nina D, je nahesakabika kuwa nina credit au vip?? Msaada tafadhali
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Tupeane updates
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Wanabodi leo nimesikia magazeti yakitangaza kuwa walimu na wauguzi wachuana ongezeko la mishahara, plz mwenye upeo wa kudadavua atujuze, Good morning
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ugumu/wepec wake katika kuisoma,soko lake.. na maeneo yake ya kupigia kazi
1 Reactions
1 Replies
2K Views
NI Kwa dhahili kabisa Bodi ya vyuo Tanzania ni jipu, Kwa hizi siku za karibuni TCU wamethibitisha hawapo serious na majukumu yao. Ikiwa kwa kupitia Website yao wenyewe walihakikishia umma kuwa...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom