Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

WanaJamiiForums kwa wale waliokosa vyuo sasa inakuaje maaana vimebaki vyuo vya private vingi na vyuo vipi ni vizuri ku apply Kuna ndugu yangu aliomba law udom udsm na mzumbe kakosa sasa vyuo gani...
4 Reactions
39 Replies
7K Views
Comfimation NACTE mpaka sasa kwangu bado, Vipi kwenu wenzang?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
0 Reactions
4 Replies
2K Views
TCU wamesema watafungua tar 12 ad tar 23 lakini hadi Leo diploma hawajaona matokeo yao...second round imeanza.. TCU inamaana hawawaoni diploma kwanza no equality MUHAS diploma nafas 4 Kat ya...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Wale waliochGuliwa kujiunga na degree ya business cbe dom tukutane hapa tujuane
0 Reactions
2 Replies
4K Views
RASIFA TANZANIA BLOG inapenda kutoa ushauri kwa applicants ambao wamekosa round ya kwanza katika selection za vyuo vikuu kwa mwaka 2016/2017.Jambo kubwa ambalo limefanya walio wengi kukosa...
3 Reactions
17 Replies
3K Views
Naombeni ushauri wa vyuo hivi nilivyo chagua second round kama nimekosea kuchagua inaeza ikanisababisha nikose naombeni mnisaidie
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Jaman kwa anayefahamu kilipo chuo hichi hapa DSM naomba anielekeze sababu nina shida ya kutaka kufka hapo nkachukue admission letter plz plz naombeni msaada kwa hlo...
0 Reactions
7 Replies
8K Views
Habari wa jamii ,naomba kujuzwa kama title isemavyo hapo!!
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Nasikitika sana, tena sana kauli ya naibu wazir wkt akijib swali bungeni Si sahihi kutangaza kitu kama hicho, wanaotaka kufanya hivyo wawe huru kuamua Binafsi siwez kufundisha primary. Nasikia...
2 Reactions
38 Replies
4K Views
Kama umechaguliwa hapo njoo tufahamiane
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jamani naombeni msaada kujua kama ni kweli kuwa kwa walioziona course ambazo wamepangiwa siku chache zilozopita kabla ya kufungwa kwa ile link iliyokua inaonyesha course aliyochaguliwa mtu je kuna...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wakati najia andaa kutupia hoja jiulize yafuatayo... Ina kua aje? wanafunzi waliopata alama za chini za ufaulu ndio wachaguliwe kwenda kusoma uwalimu..??. wanafunzi walio maliza kidato cha nne...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
eh wadau Nina best angu kaaply third selection je kuna anaewezajua tetesi kwamba zinatokalini??
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimesahau user name na password
0 Reactions
17 Replies
8K Views
Wakuu kama yupo anaejua vigezo walivyotumia TCU kufanya sellection atuambie maana sellection hazina usawa kuna watu wameperform vzur na wameachwa ila kuna wengne wamechukuliwa kwa perfomance hiyo...
4 Reactions
61 Replies
9K Views
Huu utaratibu wa kuchagua watu na kuwapa taarifa kuwa wamechaguliwa katika mojawapo ya kozi walizoomba, lakini uthibitisho utatoka kwenye chuo husika HAUFAI! Halafu huyu MTU ikitokea chuo...
0 Reactions
0 Replies
627 Views
Habari wakuu! mimi nilipata division 3 ya 13 na niliomba vyuo vifuatavyo 1. SAUT 2.UDOM 3.DUCE 4.MUCE 5.TUMAINI Coarse nilichagua ya education nimelogin nkakuta wameniandikia hivi YOU HAVE...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari wana jf, naomba kujua kama kuna diploma holder kashachaguliwa Kwani profile yangu bado haifunguki, mwenye tarifa naomba anijuze
0 Reactions
8 Replies
992 Views
Habari wanajf, Ni hivi karibuni NACTE wametoa selection kwa wale walioomba awamu ya pili diploma studies. Lakini katika taarifa zinazoonekana kwenye profile za baadhi ya watu, kuna mkanganyiko...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Back
Top Bottom