Nina mdogo wangu alimaliza form four mwaka 2015 alipata division four ya 28 kwa masomo haya HISTORY,C ,ENGLISH,D,BIOLOGY,D,KISWAHILI,D,GEOGRAPHY,D,CIVICS,D, B.MATHEMATICS,F, ameapply third around...
Habar. Wakuuu.
Kuna kijana wangu alikua amechagulia Diploma ya Nursing.. lakin alikua anataka kusoma Clinical officer. Vip anaweza kufanya transfer kama vile watu wa bachelor wanavyofanyaga...
Wasalaamu wanajukwaa!
Hivi karibuni Tanzania Commission for Universities - TCU ilibadilisha kwa kupanga upya viwango, vigezo na sifa vya udahili wa wanafunzi kujiunga na vyuo vikuu kwa upande wa...
Hahahahahaaaa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Bodi ya vyuo vikuu nchini Tanzania kupitia tangazo lake imepunguza vigezo vya kujiunga na vyuo vikuu kwa mwaka wa masomo 2016/2017...
Habari zenu wanajf
Nauliza kitu kimoja hivi mtu akisoma ualimu wa masomo ya science katik vyuo private atakuwa treated sawa na mtu anaesoma course hyo katika chuo cha serikali.
Namaanisha in terms...
Habari wana javi naomba msaada kuhusiana na koz tatwa hapo juu tuliomba diploma lakini tunakuja kukuta certificate hatujui sasa msaada jaman ni sawa au hii isije kuwa ni ile ya english mediums...
Serikali kupitia Wizara Ya elimu ilibadili viwango vya kujiunga na elimu ya juu kwa Advanced level kutoka minimum point 2 hadi 4, na kwa diploma kutoka GPA ya 2.7 hadi 3.5 ,na sasa imebadili tena...
habari wakuu. Naomba maelezo kuhusu course ya bachelor of science in management information system. inahusiana na kitu gani na kazi zake ni kama zipi... na je soko la ajira kwa course hii...
Habari wakuu!
Naomba kuuliza hivi kuna watu wameandikiwa vyuo walivyochaguliwa kwa Degree maana mostly naona tumeandikiwa selected but Chuo hakijaainiahwa wakati huo huo inasemekana kuna watu...
TUME ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), imetoa ufafanuzi juu ya taarifa za kutoka kwa matokeo ya waombaji wa nafasi za kujiunga na vyuo vikuu hapa nchini, kwa mwaka wa masomo 2016/2017
Kwa siku tatu...
Kuna tangazo nimeliona kuwa min.entry kwa watu wa diploma kwenda degree zimeshushwa kutoka GPA ya 3.5 mpaka 3.0.
Je kuna ukweli wowote juu ya hili,kwa yeyote mwenye taarifa rasmi atuthibitishie humu.
naomba kuuliza fine arts ina maana gani kozi nataka niadd kozi ya utalii ila yenyew inataka hiatory,engliah,ftench and kisw/fine art nipe maana yake ndugu zangu haraka
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.