Atapata TCU Second Round?

Atapata TCU Second Round?

kimmswati

Member
Joined
Sep 2, 2016
Posts
77
Reaction score
48
f9d728e2d5bfb41a8e844c3b8d7f8a53.jpg

Ndugu zangu Msaaada kidogo nina rafiki yangu naye kapigwa Chini first round. Na ivyo apo juu ndo alivyojaza saivi mnaonaje wadau yupo kweny risk ya kukosa tena

Kama kakosea sehemu tuelekezane asije kosa round 2 tena

Ana division 2.12
 
Hapo atapata maake amejaza degree za hovyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Akikosa na hapo basi akawahi vyuo vya diploma,ila huyo ni wewe na sio rafiki yako
 
f9d728e2d5bfb41a8e844c3b8d7f8a53.jpg

Ndugu zangu Msaaada kidogo nina rafiki yangu naye kapigwa Chini first round. Na ivyo apo juu ndo alivyojaza saivi mnaonaje wadau yupo kweny risk ya kukosa tena

Kama kakosea sehemu tuelekezane asije kosa round 2 tena

Ana division 2.12
Mbona amejaza vyuo vinne tu..?
 
Hapo atapata maake amejaza degree za hovyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Degree za ovyo vepeee sindoma kukawa na registration chuo ukifika una switch watu saiv wanajaza kozi za ajabu wapate chuo tu
 
huwez kuswitch,,,jidanganye sasa..ukienda chuo hakuna kubadili
 
Computer science to tellecommunication engineering
kulikuwa na double coincidence yaan mpaka apatikane mtu kutoka telecommunication kwenda computer science ili exchange ifanyike,,,la sivyo asingepata opportunity ya kubadili
 
Sawa mkuu nimekuelewa ila kumbe transfer is possible kutokana na bahati yako
 
Very luck.......kuna jamaa alikuwa na one ya point 6 PCM alijimix akachagua bach of education in mathematics wakamgomea kuchenji
 
Home university campus of second round majina yenu haya apa.
..………_
[emoji3] [emoji3]
 
Back
Top Bottom