Wahanga wa ajira

Wahanga wa ajira

kichwapanzi

Member
Joined
Aug 30, 2016
Posts
50
Reaction score
23
Hivi ikoje umesoma kwa kingereza Leo hii ukamfundishe mwanafunzi wa shule ya msingi kwa kiswahili.... Je nikuikuza elimu ya Tanzania au kuididimiza,
 
Si hadi uipate bandugu,swaga tu hizo,mwaka ushakatika huu next week watoto wanafunga shule,so may be next year but now sahau kidogo,hadi watoe wakara ktk halmashauri kuhusu changes hizo,na kujiridhisha kwamba kuna upungufu ni leo ,mchakato ndo kwanza unaanza ,na isitoshe wasiajiri hao wasanaa chezea,baba mwenye house,amesahau yeye alitokea wapi
 
Wew zingatia kiwango cha mshahara tu ivyo vingine waachie wenyewe hata wakikuambia ufundishe kwa kisukuma poa tu
 
Bado hujauelewa mdundo wa ngoma?

Kafyeke mashamba msimu unakaribia.
 
Hivi ikoje umesoma kwa kingereza Leo hii ukamfundishe mwanafunzi wa shule ya msingi kwa kiswahili.... Je nikuikuza elimu ya Tanzania au kuididimiza,

Sio lazima ukafundishe.Unaweza enda kufanya mambo mengine
 
Back
Top Bottom