Prof Shaban Mlacha(UDOM) ashtakiwe kwa ubadhilifu, udhalilishaji, udini, uvutaji wa sigara hadharani

kilaza mjanja

JF-Expert Member
Jun 2, 2016
654
1,143
kwa kuanza ni vyema tukaanza kujua Prof Shaban mlacha ni nani?

Shabani Mlacha ni makamu mkuu wa chuo kikuu dodoma upande wa mipango, fedha na utawala, yeye ni msomi wa taaluma ya kiswahili ambaye kabla ya kuja dodoma kwa kuteuliwa na rais wa awamu ya 4 alikuwa chuo kikuu cha Dar es salaam upande wa idara ya kiswahili na TATAKI/TUKI.

Kiongozi huyu anatajwa kuwa mtu mkorofi, mwenye kiburi kizito na mwenye dharau kubwa sana kwa wafanyakazi wenzake kwa kutoa kauli ambazo sio tu kuhudhi ni pamoja na kumfedhehesha mtu yeyote ambae anamsikiliza ama ambae yupo chini ngazi yake.

UTATA ULIPO ANZIA
kupitia uchunguzi uliofafanya na miaka kadhaa juu ya elimu yake ya kiswahili na nafasi alio teuliwa kushikiria ikihitaji utaalamu mkubwa sana wa kifedha na utawala utokana na kipindi hicho chuo kilikuwa kinaanza na kilikuwa kinahitaji sana mtu mwenye udhoefu wa taaluma hiyo,, uchunguzi ulibaini ni kuwa kiongozi huyo wameoa eneo mmoja na mkuu wa kaya wa awamu ya 4 ambapo kuna ukaribu mkubwa kati ya prof huyo na mkuu huyo wa kaya wa awamu ya 4

UBADHILIFU
kupitia uchunguzi uliofanya na wasiri wetu ni kuwa kiongozi huyu kupitia fedha za ujenzi wa chuo kikuu dodoma alijichukulia fedha, malighafi za ujenzi wa chuo na kuanzisha shule yake binafsi huko same iitwayo Alkachenje. fedha zilizo tumika katika ujenzi wa shule hile ni zile zile zilizo jenga chuo kikuu dodoma. pia nyumba zake zimejengwa kupitia mifuko ya simenti ya chuo na hata vigaye vya nyumba hizo na shule ni vile vile vya chuo kikuu dodoma? je TAKUKURU mko wapi?

Tenda za cafteria
kama tujuavyo chuo kikuu dodoma ni chuo cha serikali na taratibu za tenda zimeelezwa wazi kupitia sheria ya kazi hizo,, cha ajabu na kushangaza prof mlacha kwa kutumi mamlaka yake na ubabe wake amefanya cafteria kuwa eneo la kitega uchumi kwa kuweka maswaiba wake kama ALFA CAFTERIA ambayo yeye ni mdhabuni wa usambazaji wa nyama kwenye cafteria hizo na kujipatia fedha kinyume kabisa na taratibu za utawala bora kwenyewe sekta za umma.
pili upatikanaji wa tenda za uendeshajiwa cafetria chuoni hapo huwa zinaendeshwa kwa uswahiba na undugu huku maswahiba wengine wanashindwa kuziendesha kutokana na uwezo mdogo wao ila kwakuwa ni uswahiba basi nafasi hizo hupewa wao mfano alitolewa Break Point (BP) na kuletwa swaiba wa mlacha aitwae Center plaza.

UDHALILISHAJI KWA WAHADHIRI NA WANAFUNZI KWA UJUMLA
Katika upande ambao watu wengi sana chuo kikuu dodoma wamekuwa wakilalamika na kusikitishwa ni matumizi ya lugha za matusi, kutishana na hata kuchezea makofi kwa baadhi ya wafanyakazi wa chuo kikuu dodoma, upo ushahidi ambao maprof wengine waliopo chuoni hapo wakitukanwa na kukalipiwa mbele ya wanafunzi kama watoto wadogo.
Lugha za kikukatili na ubaguzi kama zile za "Unanizidi urefu, ujinga na umasikini wenu" ni lugha baadi ya nyingi ambazo wanafunzi na viongozi mbali mbali chuoni hapo wakizipata.

kwa taharifa zilizopo ni kuwa kiongozi huyu ananguvu kweli kweli kuliko hata makamu mkuu wa chuo hicho ambae ni prof. Idris Kikula ambae yeye anaonekana kama pambo kutokana na prof mlacha kuhodhi kila kitu.

UVUTAJI WA SIGARA HADHARANI NA KWENYE OFISI ZA UMMA.
katika hali ya kushangaza na kusikitisha na inayoendana kinyume na taratibu za nchi prof huyu ambae muda wote huwa anatembea na sportman sigara na kufanya ofisi yake kuwa chumba cha uvutaji wa sigara na ukiingia kwenye ofisi yake ni kama jiko la kuni ambapo moshi wa sigara ndio eneo lake kuanzia asubuhi mpaka jioni,, hali hiyo inawasikitisha sana wafanyakazi wenzake ila hakuna wa kulisema na hili ni kelo kwa kila mtumishi pale UDOM

UDINI
kwa manufaa ya nchi na kutunza umoja wetu kama nchi maswala ya udini yamekidhiri sana chuo kikuu dodoma ila kuyaweka hapa ni kuwagawa watanzania hivyo kwa maswala ya umoja wa kitaifa hatutaiweka hapa ripoti hiyo ila unaweza kufuatilia mwenyewe na kujionea.

HITIMISHO
Ushauri wangu juu ya mwenendo wa huyu kiongozi ni wa kufikishwa mahakamani na kuhukumiwa kwa matumzi mabaya ya ofisi na pia ni kati ya watu wanao takiwa kukumbwa na mahakama na mafisadi hivyo vyombo kama TAKUKURU vitumike kuchunguza kwa kina na kuweza kuchukua hatua haraka kwani UDOM ni jibu sana juu ya mzee prof mlacha.

huu ni mwangaza kwa vyombo vya usalama kumuhoji na kuchunguza na kuona swala hilo.
 
Haya ni mambo ya kudhalilishana mods mmetulia tu?ondoeni huu upuuzi kwa heshima ya jf.
 
Anamwambia nani
hapo anawaambia wanafunzi fulani mwaka 2010 kulikuwa na mgomo mzito wa kumtaka atoke kwenye nafasi hiyo kutokana na ubabe wake jibu lake lilikuwa hivyo pia akawaambia watu wake wapigeni picha hao niwafukuze wote,, pia muulize pinda alivyo jibiwa na huyo mlacha kwa dharau
 
Back
Top Bottom