Muhimu..GPA imeshushwa

Muhimu..GPA imeshushwa

Msipoomba mwaka huu hamtopata tena nafasi ya kusoma shahada kwa ufaulu chini ya 3.5 na mtabaki na shashahada zenu.
 
Msipoomba mwaka huu hamtopata tena nafasi ya kusoma shahada kwa ufaulu chini ya 3.5 na mtabaki na shashahada zenu.
Nakumbuka nikichangia issue hii nilisema 3.5 from 2.7 was too high a jump wangeweka 3.0. Kwa nini wamechelewesha hivi? All in all watu waombe sasa inawezekana.
 
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
Back
Top Bottom