Mahcyn Aliy
Member
- Aug 8, 2016
- 37
- 3
habari wakuu. Naomba maelezo kuhusu course ya bachelor of science in management information system. inahusiana na kitu gani na kazi zake ni kama zipi... na je soko la ajira kwa course hii lipoje??? msaada please.