intermediate
JF-Expert Member
- Nov 17, 2014
- 232
- 166
Habar. Wakuuu.
Kuna kijana wangu alikua amechagulia Diploma ya Nursing.. lakin alikua anataka kusoma Clinical officer. Vip anaweza kufanya transfer kama vile watu wa bachelor wanavyofanyaga.. Naomba kujuzwa tafadhali.