university ni kama neno universal ni combinations of different colleges...
usa wamezoea kuita college kuliko neno university kama unafatilia uchaguz wa usa.. wakiongelea wagombea wao wanaelezea where they went to college na hapo unakuta zinatajwa havard, yale, na mavyuo ya kufa mtu..
ila ingekuwa bongo Ingekuwa chuo kikuu tu jinsi tunavyopenda kuonekana tupo juuu...
college ni part of a university...
mfano coet pale udsm