Waliochaguliwa TCU 2016/2017

Waliochaguliwa TCU 2016/2017

Ruiz

Senior Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
169
Reaction score
70
Habari wakuu!
Naomba kuuliza hivi kuna watu wameandikiwa vyuo walivyochaguliwa kwa Degree maana mostly naona tumeandikiwa selected but Chuo hakijaainiahwa wakati huo huo inasemekana kuna watu wameandikiwa vyuo....please km mpo tujuzen
 
waliocheki jumapili waliona
 
waliocheki jumapili waliona
Lakini sasa hawaoni tena nao wameandikiwa provisional selection successful D: D: D; D [emoji141][emoji141][emoji141][emoji141][emoji141][emoji141][emoji141][emoji141][emoji141]
 
Back
Top Bottom