Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,678
- 5,166
naomba kuuliza fine arts ina maana gani kozi nataka niadd kozi ya utalii ila yenyew inataka hiatory,engliah,ftench and kisw/fine art nipe maana yake ndugu zangu haraka
inahusika na kuchora chora picha mkuu na mapambo ya kutumia ranginaomba kuuliza fine arts ina maana gani kozi nataka niadd kozi ya utalii ila yenyew inataka hiatory,engliah,ftench and kisw/fine art nipe maana yake ndugu zangu haraka