DOKEZO Tunaomba mlipazie sauti hili wanafunzi wanahitaji Hela zao

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Kuna wanafunzi wa Chuo Cha SUA wanadai refund ya Hela zao za ada ila tangu semester iliyopita Mpaka Leo hawajapata Hela zao. Tunaomba mzungumzie hili swala wanafunzi wapate Hela zao.

Hii refund iko hivi wanafunzi wale wenye mikopo walilipa Ada ila Mwisho Wa siku Bodi ya mikopo ikawaongezea Hela ikawa inawalipia Ada asilimia 100%. Hiyo nyongeza ya Ada ilikuja semester ikiwa imeanza Kwahyo kuna baadhi ya wanafunzi walikuwa tayari wameshalipa Ada. Shida inakuja kwa Chuo kurudisha Hela, inarudisha taratibu mno, kuna wanafunzi wameandika Barua tangu Mwezi wa tano Mpaka saivi hawajapa Hela zao Bado.

Tunaomba lipazieni sauti hili
 
Back
Top Bottom