DOKEZO Nashauri hatua zichukuliwe mapema dhidi ya Mwalimu huyu wa Nanhyanga Sekondari, kinaweza kumkuta kitu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Kuna Mwalimu (jina linahifadhiwa) anayefundisha Shule ya Nanhyanga Sekondari iliyopo Tandahimba Mkoani Mtwara, anaweza kudhuriwa na jamii inayomzunguka kwa kuwa wanamtuhumu kwa mambo mbalimbali ambayo Uongozi wa Shule pia unajua.

Nimekaa na Wananchi wa hapa Nanhyanga nimebaini kuwa wanamtuhumu Mwalimu huyo kwa mambo kadhaa, ikiwemo kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Wanafunzi na wake za watu.

Mengine ambayo nimebaini anahusishwa nayo ni uchomaji moto kwa vyumba vya madarasa ya shule, hii ulitokea mwezi Mei 2023.

Pia jamaa anahusisha na wizi wa mali za shule.

Baadhi ya tuhuma hizo ziliwekwa wazi katika Kikao cha Wazazi kilichofanyika mwezi wa tisa Mwaka Huu (2023) lakini ajabu ni kuwa uongozi wa Shule umenyamaza kimya.

Nimeandika uzi huu kuushauri uongozi wa Halmashauri ya Wilaya kuchukua hatua za haraka kwa usalama wa Mwalimu huyu na usalama wa Shule ya Nanhyanga.

Nayasema haya kwa kuwa kijijini hapa kuna minong'ono juu ya kutaka kumdhuru Mwalimu huyu, ninavyojua kama hatua hazitachukuliwa mapema basi kuna uwezekano wa hilo ninalosema kutokea.
 
Daaa HAKI waalimu mna kazi ..

Ila MUNGU awabariki sana maana mmeokoa wajinga wengi sana Ktk taifa letu.

Mkuu ikidhibitika huyo mwalimu anakosa achukuliwa hatua kisheria tu km mkuu wa shulee kashindwa kumchukulia hatua fanya mpango hata ww sogea ngazi za juu ukatoe malalamiko hayo usisubiri afanye mwingine km ww unaweza kwenda ngazi za juu kabla wananchi hawajamdhuru mwalimuu.
 
Tatizo la mapenzi mashuleni;
Just one simple solution....
Wanafunzi wa kike waliobaleghe wasomeshwe na waalimu wa kike na wasichanganywe na wavulana waliobaleghe. Kama hamjanielewa nyie endeleeni mi nipo palee...
 
Ni Hawa Hawa wananchi tunaoambiwaga wamesimammisha msafara wa Kiongozi Fulani, Leo washindwe Kum bebea bango Mwalimu. Badala yake wapange kumdhuru kisirisiri?

Nakushauri embu peleka hili dokezo kwa Afisa elimu wa sekondari au kwa DAS au DC.
Huku ni umbea tu!
Vijijini hizi tuhuma vinamalizwa kimya kimya hata upeleke hizo tuhuma kwa hao watajwa hapo juu.

Zaidi wanawagonga mabinti tena shule ya msingi adhabu yake atahamishwa
 
Usipige ramli ,,mtaje Mwalimu husika hapa uisaidie serikali vinginevyo halina maana
 
Tatizo la mapenzi mashuleni;
Just one simple solution....
Wanafunzi wa kike waliobaleghe wasomeshwe na waalimu wa kike na wasichanganywe na wavulana waliobaleghe. Kama hamjanielewa nyie endeleeni mi nipo palee...
Duh hii kali
 
Tatizo la mapenzi mashuleni;
Just one simple solution....
Wanafunzi wa kike waliobaleghe wasomeshwe na waalimu wa kike na wasichanganywe na wavulana waliobaleghe. Kama hamjanielewa nyie endeleeni mi nipo palee...
hiyo sio solution,nani alikuambia hayo mambo wanayafanya wakati wa vipindi?,kwani hao wanafunzi wanalala madarasani? Si wanarudi majumbani kwao Kwa wazazi wao sasa huyo mwalimu wakike ataweza wapi? Watoto wenyewe wanapenda hiyo michezo,wangekuwa hawapendi wasingekuwa wanakubali nakukaa kimya.na hao walimu mnawasingizia tu hao watoto wanaharibiwa na jamii Huku mtaani
 
Kesi ya ticha ni kuwatombea wake zenu na wengine amewazalisha.

Kuchoma shule angekamatwa kabla moto haujazimika. Kuwagonga wanafunzi angepigwa mkwara na mkuu wake, maafisa elimu na tume ya utumishi wa walimu ingeshamshughulikia.

Nyie ni wanyonge kwake ndoo maana wake zenu anawanyonyesha mkuyenge wake.

Ticha ongeza umakini, nunua jambia la kujihami.
 
Back
Top Bottom