DOKEZO Chuo cha CBE Dar boresheni Mifumo ya Ada na Matokeo, inatupa usumbufu sana

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Aug 31, 2022
54
99
Wenye mamlaka leo naomba kufikisha kero yangu kuhusu ubovu wa Mifumo ya Malipo ya Ada na Utoaji Matokeo ya Mitihani ambayo imekuwa na usumbufu kwa Wanafunzi kutokana na Matokeo kutowekwa kwenye Mfumo unaoruhusu kuingia kwa akaunti maalumu (COSIS)

Pia kwenye suala la Malipo ya Ada, Mifumo ya Chuo hiki imekuwa haisomi taarifa zilizo sahihi na kusababisha baadhi Wanafunzi kuonekana bado wanadaiwa Ada wakati wameshamaliza malipo ya Mihula

Tunaomba sana wenye Chuo wachukue hatua za haraka kwa kuboresha Mifumo hii ili kuepusha usumbufu usio na msingi kwa Wanafunzi
 
Vyuo vingi vilianzisha vitivo vya IT moja ikiwa ni kuzalisha IT's,na pili hizi department ziweze kusimamia system za vyuo hivyo.Baadhi ya vyuo vimefanikiwa na vingine vimeshindwa kusimamia mifumo yake pamoja na kuwa na hizi department za IT.Zama zimebadilika,tahasisi zote kwa leo hii zinaendeshwa na mifumo madhubuti ili kupata ufanisi.

Tahasisi za elimu inabidi ziwe na mifumo bora ambayo imeunganishwa madhubuti bila mkanganyiko.Mwanafunzi anapo jisajiri na kupata control number ya malipo,baada ya malipo system inatakiwa kumpa access zote anazo stahiri.

Poleni sana,IT wafanye kazi yao...!
 
Kwa nchi za ulaya mbona PhD ni elimu ya kawaida tu na unasoma online tu haya mambo ya kukomoana yapo Africa tu
Masters na PhD sio za kusomea afrika utajuta
Ulaya ni developed country wasomi walikua wengi kabla ya uhuru na baada,ila Africa, Tanganyika mpaka Tanzania inazaliwa frequency ya wasomi na vyuo ilikua inafanana ni wachache au Kama hakuna,tusijifananishe nao.
Masters na PhD kwa Tanzania vyuo vya kwenda kusoma vipo but vyuo vingine vinalazimisha kutoa Elimu ambayo hawawezi kuitoa Kama hicho cbe ingia Instagram tafuta jamii forum utaona comments za watu wanaokijua chuo vizuri utaona wameandika nini.Nakubali ulicho sema Elimu ya juu uhakika sio bongo
 
Nilishindwa kusoma mwaka huu.Marafiki zangu wa ofisi zingine walijiunga CBE kwasababu Tuition fees kidogo,Waliowahi kulipa tuition fees walitamani kuacha chuo ndani ya mwezi mmoja.

Wengine walikimbia mapema walienda Udsm na IAA walikubali kupata hasara ya laki moja ya usajili.waliolipa nyingi wanakomaa ila wanalalamika tu sio ugumu wa masomo but wanatabia za non academic sana kuliko kutumia academic baadhi ya staff wao ndio matatizo matupu kama Course yako ipo sehemu nyingine watu watakuambia usiende Nenda chuo kingine
 
Nikiwa kama mzazi wa binti anayesoma chuo hicho kuna mapungufu nitayabainisha kwa nia ya kusaidia mkuu wa chuo na director of undergraduate studies wayachukue wayatatue

1. Kuna shida kubwa ya ratiba za vipindi yaani mtoto anaondoka asubuhi anarudi usiku na ukitazama hapo katikati kuna gap kubwa bila vipindi. Hii ni mentality ya kiswahili kwamba kijana anayesoma hahitaji kufanya shughuli nyingine yaani mtu wa Morning session hana tofauti na evening programs. This is total wrong

2. Kuja kwenye utoaji wa matokeo kupitia platform yao wanayoiita cosis ya online, matokeo yamekuwa yakibadilika badilika. Its like the system haiko secure,stable and reliable.Hawana jinsi watangaze tenda wampe software developer mwenye uwezo vijana wao hii cosis na website nzima ya cbe haiko very user friendly. Inawezekanaje kwenye website hupati prospectus ya chuo, almanac etc

3. Miundombinu wakati wa mvua wajaze udongo chuo kinyanyuke na wajenge mifereji mikubwa ya kutoa maji nje. Yaani unajenga madarasa mazuri ya vioo ambayo structural design inabidi yawe yanawashwa aircondition halafu unaweka feni mbovu hazifanyi kazi. Kuna tatizo la supervision kwa wakandarasi wanaojenga majengo mapya,

4. Utatuliwaji wa matatizo ya matokeo yaani coursework kutokuonekana yanachukua muda mrefu sana mwanafunzi anaweza akaenda mwaka unaofuata bila coursework kusomeka vizuri ilihali kila mtihani wake upo na matokeo yapo anaambiwa nenda kwa Head of dept. Kuna uswahili fulani kwenye utendaji wa watendaji hapo cbe.

5. Kielimu wanajitahidi kutoa content iliyo nzuri lakini resource hasa online library ni kama vile haipo au ipo kwa ajili ya watu wa nje wanaoenda short course.
 
Sasa kama unalipa 1.3M kama ada wanashindwa nini kuwa na mfumo mzuri
Wakati vyuo vinavyotoa kozi ya IT wanatengeneza tu mfumo wao
 
Ingia Instagram kwenye jamii forum wamepost chuo chako kwenye campus unayofanyia kazi(sina uhakika Kama mtumishi wa cbe).soma comments vipo vitu vingi vimeandikwa vitasaidia kujibu swali lako.

Sasa nini maana ya kuwa hapa
 
Alafu wanatoa course za IT hii nchi bwana ni shida kila kona,tunatengeneza jamii ya watu wa aina gani tuko serious kweli sisi Kama taifa?
 
Kumbe wanatoa kozi ya IT au unawatania tu kozi ya IT Siwanatengeneza wao tu mfumo Tena mzuri kabisa
 
Yale matatizo haswa ya uwekaji kwa wakati na usahihi wa matokeo ya wanafunzi bado ni changamoto sana kwa chuo hichi na kuna hawa wanaoitwa Head of dept wamekuwa ni kama wanajilazimisha kufanya kazi zao
Very unproffessional kwa kweli kama una mtoto ni bora umpeleke IAA au IFm, au NIT vyuo vimenyooka kwenye masuala ya academic cbee ni wahuni fulani hivi. Haswa kwenye issuing control number on right time, dealing with results and courseworks on time in a proffessional manner hawawezi kabisa
 
Nikiwa kama mzazi wa binti anayesoma chuo hicho kuna mapungufu nitayabainisha kwa nia ya kusaidia mkuu wa chuo na director of undergraduate studies wayachukue wayatatue

1. Kuna shida kubwa ya ratiba za vipindi yaani mtoto anaondoka asubuhi anarudi usiku na ukitazama hapo katikati kuna gap kubwa bila vipindi. Hii ni mentality ya kiswahili kwamba kijana anayesoma hahitaji kufanya shughuli nyingine yaani mtu wa Morning session hana tofauti na evening programs. This is total wrong

2. Kuja kwenye utoaji wa matokeo kupitia platform yao wanayoiita cosis ya online, matokeo yamekuwa yakibadilika badilika. Its like the system haiko secure,stable and reliable.Hawana jinsi watangaze tenda wampe software developer mwenye uwezo vijana wao hii cosis na website nzima ya cbe haiko very user friendly. Inawezekanaje kwenye website hupati prospectus ya chuo, almanac etc

3. Miundombinu wakati wa mvua wajaze udongo chuo kinyanyuke na wajenge mifereji mikubwa ya kutoa maji nje. Yaani unajenga madarasa mazuri ya vioo ambayo structural design inabidi yawe yanawashwa aircondition halafu unaweka feni mbovu hazifanyi kazi. Kuna tatizo la supervision kwa wakandarasi wanaojenga majengo mapya,

4. Utatuliwaji wa matatizo ya matokeo yaani coursework kutokuonekana yanachukua muda mrefu sana mwanafunzi anaweza akaenda mwaka unaofuata bila coursework kusomeka vizuri ilihali kila mtihani wake upo na matokeo yapo anaambiwa nenda kwa Head of dept. Kuna uswahili fulani kwenye utendaji wa watendaji hapo cbe.

5. Kielimu wanajitahidi kutoa content iliyo nzuri lakini resource hasa online library ni kama vile haipo au ipo kwa ajili ya watu wa nje wanaoenda short course.
Hili swala la ratiba washalirekebisha now unakuta kwa siku kipind kimoja
 
Safi kama wamerekebisha hatuwachukii bali tunatoa critique ili waboreshe zaidi maana ni chuo kilihitajika kiwe bora zaidi kwa masomo ya biashara.
 
Back
Top Bottom