Wernery G Kapinga
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 376
- 127
Nimepata majengo ambayo nahitaji kufungua chuo cha utalii na usimamizi wa mahoteli na accounts. Sasa mahitaji ya sasa ni
1. Usajili
2. Katiba
3. Lesseni
4. Kodi
Chuo hicho nataraji kuanza kufungua mwezi wa nane..
Hivyo yeyote mwenye ushauri juu ya kupata mkopo ili nifanye shughuli hiyo tafadhali usisite. Nimejaribu kuongea na Mbunge wangu Sixtus Mapunda hana msaada anasema jimbo haina mfuko kwa sasa.
Au kama kuna yeyote anaueweza akaja akaona na tukaungana tukafanya Kazi yote pia poa tu. Lengo kiwasaidi vijana wanaofeli kidato cha 4 kupata elimu mbadala na wakajikwamua kimaisha. Namba zangu ni 0754004189
Tafadhali sana mtanzania mwenzangu naomba mawazo yako nitayafanyia Kazi. Ahsante sana