Msaada: Mrejesho Biashara Thailand

jembelamkono

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
2,733
2,011
Wakuu tumeona post nyingi zikiwahamasisha wafanya biashara wadogo na wakati kwenda nchi ya Thailand kufanya manunuzi ya badhaa zao.

Wengi walijitokeza kuchangia na pia
waliahidi soon watakwenda kufanya manunuzi huko.

Binafsi ni mmoja wao n9liyevutiwa kwenda Thai kutafuta bidhaa kaza wa kaza huko.

Kabla ya kufanya hiyvo ningependa kupata mrejesho kwa wenzetu ambao walifaniwa kwenda huko siku za usoni,nini mafanikio na pia nini vikwazo vikubwa walivyokumbana navyo kwenye safari yao hiyo.

Nivyema kujifunza kwa watu wako wa karibu kabla ya kufanya makosa yasiyo ya lazima,

Nawasilisha.
 
Nimebahatika kufika Bangkok mwezi june, japo sikwenda kwa ajili ya biashara ila nimejionea fursa nyingi.
Kwa upande wa nguo ni very cheap na ni quality, mfano viatu ni kuanzia bht 100 na tshirt na mashati ya maana kuanzia bht 100, jeans na cadet tunazouziwa huku 50 na kuendelea ni kuanzia bht 500, kama utanunua mzigo mkubwa sana utapata punguzo la bei hizo.
Kwa upande wa electronics nimekuta simu nazo ni bei nzur sana japo sijalinganisha na China, mfano note 5 nimenunua kwa bht 15000.
Maeneo ya kufanyia manunuzi nenda Platinum fashion mall(nguo za aina zote, viatu, mabegi), MBK kwa second hand na new electronics, Pantip kwa ajili ya electronics pia, Chatuchak weekend market kwa vitu mchanganyiko, hii sehemu ni sawa na masoko ya mnada yani linaanza ijumaa jioni mpaka jumapili jioni.
Kuhusu malazi na chakula ni bei ndogo sana, chumba ni kuanzia bht 750 kwa maeneo mazur ya Pratunam ambapo hapa hutahitaji usafiri wa kuzungukia maduka yote makubwa niliyotaja hapo juu.
Nimejaribu kueleza kidogo nilichokiona Thailand(Bangkok)
 
Hiyo bht moja sawa na tsh kiasi gani?
 
Hapo naona hizo gharama sio tofauti sana na huku kwetu. Mfano hapo kwenye chumba ni kuanzia bht 750 ambayo ni sawa na 45750. Ya kuanzia hiyo ina maana ni bei ya chini.

Kikubwa hapo ni ubora.
 
Sasa mkuu hio Note 5 si ni kama 930,000 Electronics nadhani bei hazina tofauti kubwa sana maana hata hizo cadet ni 31,000 na kuendelea....
Kea cadet sio hizi copy tunazouziana 35 hapa, nenda kwenye maduka makubwa ya nguo utaziona, hizi tunazouziana 35 hapa kule ni 12000, kuhusu electronics nimezungumzia rejareja ika kwa wingi wake ni pungufu zaid
 
Ina maana hakuna mtu mwenye experience mpk tunakosa uelekeo? Wafanyabiashara wengine bhana wachoyo hata wa ushauri wamejificha Tu humu
 
Sasa mkuu hio Note 5 si ni kama 930,000 Electronics nadhani bei hazina tofauti kubwa sana maana hata hizo cadet ni 31,000 na kuendelea....
Logic; kimsingi kwa mtu anaetaka anza biashara na akue basi aende china sio thai...au aanzie kkoo: lkn kwa gharama za bidhaa thai uje tz tunaopenda chipu biashara inakukata saa mbili asubuhi, lkn kwa wenye mitaji mikubwa thai pana wafaa; coz ataingia factory moja kwa moja sio mtaani wala kwenye malls
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Kea cadet sio hizi copy tunazouziana 35 hapa, nenda kwenye maduka makubwa ya nguo utaziona, hizi tunazouziana 35 hapa kule ni 12000, kuhusu electronics nimezungumzia rejareja ika kwa wingi wake ni pungufu zaid
Mkuu cadet mzuri ya thai bongo si chini ya elfu 75/-Tshs , well utanunua lakini sokoni ukifika TZ wateja wanahitaji bei ya 35/-Tshs kushuka chini ikibidi hadi 25/-Tshs na io bei ya cadet kwa 12 bongo na imetoka thai ujue uyo alifunga kontena kiwandani moja kwa moja lkn mtaani kwa bei io ilo lonya
 
Hicho ulichokisema ni sahihi maana inabidi ujue wateja wako ni akina nani maana ninavyofahami cadet ni 21-25 kariakoo wanaonunua kariakooo kupeleka madukani kwao mitaani i.e kinondoni sinza wao huanzia 35,000 kwenda juuu
 
Logic; kimsingi kwa mtu anaetaka anza biashara na akue basi aende china sio thai...au aanzie kkoo: lkn kwa gharama za bidhaa thai uje tz tunaopenda chipu biashara inakukata saa mbili asubuhi, lkn kwa wenye mitaji mikubwa thai pana wafaa; coz ataingia factory moja kwa moja sio mtaani wala kwenye malls
Kwa uzoefu wako huko China mtaji wa mil 8-9 unaweza kutosha kuifanya hiyo Biashara?
 
Back
Top Bottom