Brojust
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 301
- 807
Salaam JF
Mimi ni kijana mtanzania graduate wa chuo kimojawapo hapa mchini. Pia ni mgeni kidogo humu JamiiForums hii ndio post yangu ya kwanza (Ingawa ni member wa muda kidogo)
Nimekuwa na kipaji cha kuandika proposal za event mbali mbali nikiwa chuo na kufanikiwa kupita kwa maana ya zaidi ya asilimia 70% proposal ninazoandika hupita na kufanya event mbali mbali.
Swali; Je naweza kufanya hii ikawa ndio ajira yangu maana kazi za serikali ndio hivo tena, Naweza pia nikatangazaje hii biashara yangu, pia naweza nikarasimisha vipi hii biashara yangu na kuwa mlipa kodi halali wa serikali.
Wenu mtiifu;