Hisa za Vodacom; ni almasi mchangani au ni puto hewani?

Elijah Steel

Senior Member
May 17, 2016
118
165
Habarini wandugu, Kwanza kiabisa nawapa pole kwa kuendelea kuisoma namba. Pili nataka kidogo nipitie hizi hisa\offering za Voda ambazo saizi ndo hot issue kn Tanzania investment. Hisa za voda kama nyingine zote duniani hua zina kua ni za aina mbili kwamba ni ALMASI MCHANGANI ambayo watu hawajaishtukia au zinakua ni PUTO HEWANI ambalo muda wowote hupasuka na kudondoka(nosedive). Kwa utafiti mdogo niliufanya ili kugundua kama inafaa kununua hizi hisa nimegundua kitu ambacho hata mimi binafsi nilikua SURPRISED.

OFA YENYEWE

Voda wameofa hisa 560,000,000/= ambazo wanasema ni 25% ya thamani ya kampuni ya kwa bei ya Tsh 850 kwa hisa moja. So ukichukua 560,000,000x850=476,000,000,000/= (Bilioni 476). Kwa maana hiyo sasa kama 25% ya voda ni Bilioni 476 then thamani ya voda kwa sasa ni 1,904,000,000,000(Trilioni 1.9). Actually kwa muonekano wa kawaida unaweza sema kweli voda ina hiyo thamani lakini ukiangalia Vitabu vya voda utagundua fika kwamba hii sio thamani halisi ya kampuni hii na utagundua kua hisa hizo zimeuzwa kwa bei kubwa mnoooo. Ninavosema bei kubwa simaanishi Tsh. 850 bali ile 850x560,000,000/=

KWANINI SASA NASEMA HISA HIZO ZIMEKUA OVERPRICED?

Kwa kufuata Magwiji wa masoko ya mitaji ambao ni Benjamin Ghraham (The father of Wall street), Warren Buffet (The third richest man in the world) na Philip Fisher (A succeful investor) ambao wote hutumia Firm Foundation Theory ambayo katika kugundua thamani ya hisa husika basi hujikita zaidi katika kuangalia thamani halisi (intrsic value) ya kampuni kupitia Assets ilizonazo. Ambapo huangalia je thamani ya kampuni katika soko inauwiano gani na thamani yake halisi? kama thamani ya soko iko chini kuliko thamani halisi basi hushauriwa kununua hisa za hiyo kampuni and Vise versa. It can simply be explained as follows “buying securities whose prices were temporarily below intrinsic value and selling ones whose prices

were temporarily too high”

Njia inayoamika kutafuta thamani halisi ni kwa discounting ila sitaitumia ili watu wasiwe bored na calculations nitaangalia zaidi kwenye assets na malipo ya Gawio kama ifuatavyo kwenye prospectus ya Voda wameonyesha wana

ili kupata NET ASSETS VALUE=TOTAL ASSETS-INTENGIBE ASSETS – LIABILITIES.

TOTAL ASSETS =1,390,952,000,000/=

INTENGIBE ASSETS = 71,394,000,000/=

LIABILITIES = 828,401,000,000/=

THEN

NET ASSET VALUE= 1,390,952 – 71,394,000,000 -828,401,000,0000

NET ASSET VALUE=491,157,000,000/=

Nadhani thamani halisi ya Voda ni 491,157,000,000/=

So thamani ya Trilioni 1.9 ambayo ndo hisa zinaonyesha ni mara 4 zaidi ya thamani halisi ya Net assets za Voda.

Nawasikitikia watu waliorush kununua hizi hisa(especially wale walio chukua mikopo kununua hizi hisa)maana najua in time the “market will correct itself. Na tunaskia kampuni zinatengeneza pesa nyingi kwenye masoko ya mitaji kuliko hata kutokana na mauzo ya bidhaa au huduma.

NB: Ni ngumu kutabiri kupanda au kushuka kwa hisa kwa kua thamani ya hisa hua revealed kutokana na supply and demand so inaweza tokea hisa zikapanda zaidi kwa muda mfupi lakini hii itakua si kitu cha kudumu.

Beware the game of investing can be extremely dangerous.
 
Mkuu umenifungua mawazo na mm hua najiuliza sana.. ila hua siwek pesa katika jambo nisilo lijua..
 
Habarini wandugu, Kwanza kiabisa nawapa pole kwa kuendelea kuisoma namba. Pili nataka kidogo nipitie hizi hisa\offering za Voda ambazo saizi ndo hot issue kn Tanzania investment. Hisa za voda kama nyingine zote duniani hua zina kua ni za aina mbili kwamba ni ALMASI MCHANGANI ambayo watu hawajaishtukia au zinakua ni PUTO HEWANI ambalo muda wowote hupasuka na kudondoka(nosedive). Kwa utafiti mdogo niliufanya ili kugundua kama inafaa kununua hizi hisa nimegundua kitu ambacho hata mimi binafsi nilikua SURPRISED.

Beware the game of investing can be extremely dangerous.

Tathmini sahihi. Hata kwa mimi "layman" nimeielewa. Nilihisi ni CHANGA LA MACHO!
 
d771669e3621d90e1727e1708b7646c8.jpg
 
Hiyo ni kweli. We mfano chukulia tanesco asset zao zote zina thami ya tril 3. Mitambo ya gesi . Miundombinu ya umeme. Mabwawa. Majengo. Sasa voda wana vitu gani mpaka thamani ifike tril 2. Huo ni wizi. Na kweli market ni automatic na itajikorect yenyewe na hspo no kasheshe
 
kwa tafsiri ya haraka haraka biashara ya M pesa ndio inswaboost ambapo inapnekana watu wamehifadhi pesa zao kwenye simu kadiri ya bilioni. Mia nane...
Hizo hisa ziko over valued.
 
Habarini wandugu, Kwanza kiabisa nawapa pole kwa kuendelea kuisoma namba. Pili nataka kidogo nipitie hizi hisa\offering za Voda ambazo saizi ndo hot issue kn Tanzania investment. Hisa za voda kama nyingine zote duniani hua zina kua ni za aina mbili kwamba ni ALMASI MCHANGANI ambayo watu hawajaishtukia au zinakua ni PUTO HEWANI ambalo muda wowote hupasuka na kudondoka(nosedive). Kwa utafiti mdogo niliufanya ili kugundua kama inafaa kununua hizi hisa nimegundua kitu ambacho hata mimi binafsi nilikua SURPRISED.

OFA YENYEWE

Voda wameofa hisa 560,000,000/= ambazo wanasema ni 25% ya thamani ya kampuni ya kwa bei ya Tsh 850 kwa hisa moja. So ukichukua 560,000,000x850=476,000,000,000/= (Bilioni 476). Kwa maana hiyo sasa kama 25% ya voda ni Bilioni 476 then thamani ya voda kwa sasa ni 1,904,000,000,000(Trilioni 1.9). Actually kwa muonekano wa kawaida unaweza sema kweli voda ina hiyo thamani lakini ukiangalia Vitabu vya voda utagundua fika kwamba hii sio thamani halisi ya kampuni hii na utagundua kua hisa hizo zimeuzwa kwa bei kubwa mnoooo. Ninavosema bei kubwa simaanishi Tsh. 850 bali ile 850x560,000,000/=

KWANINI SASA NASEMA HISA HIZO ZIMEKUA OVERPRICED?

Kwa kufuata Magwiji wa masoko ya mitaji ambao ni Benjamin Ghraham (The father of Wall street), Warren Buffet (The third richest man in the world) na Philip Fisher (A succeful investor) ambao wote hutumia Firm Foundation Theory ambayo katika kugundua thamani ya hisa husika basi hujikita zaidi katika kuangalia thamani halisi (intrsic value) ya kampuni kupitia Assets ilizonazo. Ambapo huangalia je thamani ya kampuni katika soko inauwiano gani na thamani yake halisi? kama thamani ya soko iko chini kuliko thamani halisi basi hushauriwa kununua hisa za hiyo kampuni and Vise versa. It can simply be explained as follows “buying securities whose prices were temporarily below intrinsic value and selling ones whose prices

were temporarily too high”

Njia inayoamika kutafuta thamani halisi ni kwa discounting ila sitaitumia ili watu wasiwe bored na calculations nitaangalia zaidi kwenye assets na malipo ya Gawio kama ifuatavyo kwenye prospectus ya Voda wameonyesha wana

ili kupata NET ASSETS VALUE=TOTAL ASSETS-INTENGIBE ASSETS – LIABILITIES.

TOTAL ASSETS =1,390,952,000,000/=

INTENGIBE ASSETS = 71,394,000,000/=

LIABILITIES = 828,401,000,000/=

THEN

NET ASSET VALUE= 1,390,952 – 71,394,000,000 -828,401,000,0000

NET ASSET VALUE=491,157,000,000/=

Nadhani thamani halisi ya Voda ni 491,157,000,000/=

So thamani ya Trilioni 1.9 ambayo ndo hisa zinaonyesha ni mara 4 zaidi ya thamani halisi ya Net assets za Voda.

Nawasikitikia watu waliorush kununua hizi hisa(especially wale walio chukua mikopo kununua hizi hisa)maana najua in time the “market will correct itself. Na tunaskia kampuni zinatengeneza pesa nyingi kwenye masoko ya mitaji kuliko hata kutokana na mauzo ya bidhaa au huduma.

NB: Ni ngumu kutabiri kupanda au kushuka kwa hisa kwa kua thamani ya hisa hua revealed kutokana na supply and demand so inaweza tokea hisa zikapanda zaidi kwa muda mfupi lakini hii itakua si kitu cha kudumu.

Beware the game of investing can be extremely dangerous.

Umechanganua vizuri sana. Hii ndio maana halisi ya msemo wa 'do your homework first before making any financial decision'
ambayo huwa tunaambiwa mara kwa mara!
 
mahesabu yako sio sahihi..............ukitaka kujua thamani halisi ya voda

TOTAL ASSETS + INTANGIBLE ASSET - LIABILITIES hapo ndio utapata thamani halisi ya kampuni mkuu
 
Hiyo ni kweli. We mfano chukulia tanesco asset zao zote zina thami ya tril 3. Mitambo ya gesi . Miundombinu ya umeme. Mabwawa. Majengo. Sasa voda wana vitu gani mpaka thamani ifike tril 2. Huo ni wizi. Na kweli market ni automatic na itajikorect yenyewe na hspo no kasheshe
unajua thamani ya minara nchi nzima?
 
Ukinunua hisa kwa lengo la kutaka utajiri kesho utakufa kwa stress na pressure. Tumia pesa ambayo you can risk to lose na shikilia hisa zako kwa muda huku ukitumia your dividends na depreciation work for you kwa kununua more stocks - Guys hisa should be taken as a long term investment and not just like an overnight business

- Mambo ya hisa ukisikiliza sana watu watakuchanganya na hutanunua kamwe maana stori zake ni nyingi sana,

- Where watu wanakubali or not one of the billionnaire producing industries in this globe huwezi kuacha STOCKS TRADING
 
Mleta mada kwanini unawaaminisha watu hiyo formula yako ya kupima net assets!?
How the hell uunganishe INTANGIBLE ASSETS na LIABILITIES ndipo utoe kwenye TOTAL ASSETS? ina maana INTANGIBLE ASSETS za voda sio parts of the current "IPO" (Initial Public Offer "!?

Kumbuka kampuni ya Vodacom wanamiliki billions of intangible assets kwenye M-PESA na M-PAWA ambazo ni sehemu ya hisa zinazouzwa.

Nami nakusikitikia wewe kama hadi " IPO" inafungwa utakuwa bado una hiyo imani potofu!
 
Back
Top Bottom