Wiki hii Mhe Magufuli amezindua mradi mkubwa wa ujenzi wa treni Dar- Moro, ambapo inasemekana 100% ya fedha zote zitakazotumika ni za ndani. Mradi huu utatumia takribani trilioni 2.7 (chanzo gazeti la Mwananchi 13apr17 ), sasa naomba kuuliza kwa wale wataalamu wa uchumi je kwa mradi mkubwa hivi serikali kutumia fedha za ndani kunaweza kuleta athali zipi katika uchumi wa nchi?