Msaada: Tofauti ya maneno haya katika biashara

thewajibu

JF-Expert Member
Jan 14, 2017
236
306
Tafadhari naomba kufahamishwa tofauti ya maneno Inc, Ltd na Co. yanapotumika kwenye majina ya biashara mfano Kwese Inc, Google Inc.
 
Yeah mi ndio ninavyoielewa hivyo kwa sababu huwa hata kwenye Email huwa natumia.. kumaanisha 'kupitia kwa....' au na 'email hii imfikie fulani'


Anyways,mimi ndio nielewavyo hivyo..ila ngoja wajuzi zaidi waje watakuelezea
 
Back
Top Bottom