Msaada biashara ya soya beans

AfricaUnited

JF-Expert Member
Jul 31, 2010
2,281
1,203
HABARI WANAJAMVI ,KUTOKANA NA KUVUTIWA NA BIASHARA YA KUCHUKUA STOCK YA MAHARAGE NA KUUZA KWA JUMLA MIKOANI NA DAR ES SALAAM.NAOMBA WAZOEFU MNIDSAIDIE KUJUA JINSI HII BIASHARA INAVYO FANYWA NA WAZOEFU.
1.MTAJI NINAO KIDOGO ,MIL 7
 
MIMI NI NIKIJANA WA MIAKA 30 ,KUTOKANA NA KUVUTIWA NA BIASHARA YA KUCHUKUA STOCK YA MAHARAGE NA KUUZA KWA JUMLA MIKOANI NA DAR ES SALAAM.NAOMBA WAZOEFU MNIDSAIDIE
1.MTAJI NINAO KIDOGO ,MIL 7
2.NAOMBA KUJUZWA KUHUDSU BIASHARA HII,.

ASANTE
 
Back
Top Bottom