Mtaji ni akili na sio pesa pesa huja baada ya akili kuwaza chakufanya na katika maeneo tuliyopo hayaja wahi kukosa fursa isipo kuwa tulio wengi tunakosa ubunifuUtajiamini kama mtaji au fursa hakuna
Asante mkuu uvivu ndo unatufanya tusione fursaNaungana na wewe
Kweli mkuu na kingne wengi huwa hatuko tayari kujitesaSi uvivu bali kupenda kutafuniwa
Ukitaka kuendelea haraka nenda nje maana ukiwa nyumbani leo bibi anahitaj chumv kesho mwingine anataka 5elfKweli mkuu na kingne wengi huwa hatuko tayari kujitesa
Na kuna kitu ambacho kama vijana kinatuadhiri ni kuishi sehemu moja maana ukiwa unaishi sehemu moja huwezi kujifunza fursa zinazo tokea miji mingne
Kweli mkuu maana ukiwa mbali utajituma tofauti na nyumbani na pia huta chagua biashara ya kufanya maana hutamwonea mtu aibuUkitaka kuendelea haraka nenda nje maana ukiwa nyumbani leo bibi anahitaj chumv kesho mwingine anataka 5elf
Mkuu tunapenda kuwa mtajiri lakini hatuko tayari kuutafuta utajiriWengine tunaona aibu kuuza karanga