mtafutaji2016
Senior Member
- Jun 19, 2016
- 105
- 46
Habari za mchana wakuu..kuna kipande cha eneo tunataka kuuza kiko maeneo ya mbezi luis njia ya kuelekea goba ila tunataka kujua thaman ya eneo kwa mfano 20 kwa 30..
Asikuuzie zaid ya milion 10Habari za mchana wakuu..kuna kipande cha eneo tunataka kuuza kiko maeneo ya mbezi luis njia ya kuelekea goba ila tunataka kujua thaman ya eneo kwa mfano 20 kwa 30..
Sisi ndo tunataka kuuza ni nyuma ya nyumba yetu na iko karibu na barabara...hyo pesa ndogo sana mbona...Asikuuzie zaid ya milion 10
Barabaran watu wanapaogopa kwa sasa kuliko zaman na hiyo njia mpya iliyojengwa inawapa watu hofu,ila nimekuambia sababu nmefundishwa kujua kununua zaid maana sitapata shida ya kuuzaSisi ndo tunataka kuuza ni nyuma ya nyumba yetu na iko karibu na barabara...hyo pesa ndogo sana mbona...