Nataka kujua vyeo kwa majina katika kampuni

Kweli kabisa mkuu mimi naongezea lingine tofauti ya Managing director , Chief executive officer,Director general,General manager maana kuna kampuni bosi ni Ceo then nyingine bosi ni Md

Na then kuna nyingine Technical director(TD) na Chief technical officer (CTO) wanautofauti wa kimajukumu?
 
kwanza ujue kampuni hazifanani ukubwa,muundo,sheria iliyoisajili,idadi ya wafanyakazi na aina ya shughuli ila kwa kukusaidia kila kampuni lazima iwe na mtendaji mkuu na cha pili kila kampuni lazima ie na bodi ya wakurugezi wasiopungua wawili. kwa ufasaha zaidi pitia sheria ya makampuni
 
Unauliza vyeo vya nini/vikusaidie nini..!?
Kila kampuni intofautiana vyeo kulingana na inachofanya, mfano kampuni inayomiliki vyombo vya Habari ni tofauti na kampuni inayozalisha vyakula.
Kwahiyo kama unahitaji mpangilio wa vyeo utaje kampuni unayohitaji kujua...!!
 
Eti unauliza vyeo na vya nini/vikusaidie nini ?
hivi ile thread yako ya kuna watu wanamishahara mokubwa duniani ilikuwa inasaidia nini?

Haya hapo kwenye kampuni inajishughulisha na nini? Mimi nimeshuhudia kampuni za kandarasi za barabara moja ina CEO nyingine Ina MD na kila mmoja ni mmiliki wa kampuni yake
 
Back
Top Bottom