Gaselle
Member
- Jul 20, 2013
- 99
- 140
Tunaomba Muheshimiwa raisi aige mfano wa Ghana kama tunataka kuinua uchumi wetu Kwa kutumia wafanyabiashara wetu na sio kuongeza kodi au kuwabana wafanyabiasha na kusababisha wengine kufunga biashara zao. Kama tunataka transformation kweli ya viwanda njia ni hii