Zijue nchi 20 tajiri Afrika-Tanzania pia ikiwemo hongera

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,814
34,194
ZIJUE NCHI 20 TAJIRI AFRIKA-TANZANIA PIA IKIWEMO HONGERA.jpg


ZIJUE NCHI 20 TAJIRI AFRIKA-TANZANIA PIA IKIWEMO HONGERA

1.Afrika Kusini
Pato la Taifa ni dola bilioni 576.1
Akiba ya fedha za kigeni ni dola milioni 47,190

2. Misri
Pato la Taifa ni dola bilioni 534.1
Akiba ya fedha za kigeni ni dola milioni 14,877

3. Nigeria
Pato la Taifa ni dola bilioni 521.8
Akiba ya fedha za kigeni ni dola milioni 32,386

4. Algeria
Pato la Taifa ni dola bilioni 272.5
Akiba ya fedha za kigeni ni dola milioni 192,500

5. Morocco
Pato la Taifa ni dola bilioni 168.9
Akiba ya fedha za kigeni ni dola milioni 19,160

6. Angola
Pato la Taifa ni dola bilioni 123.1
Akiba ya fedha za kigeni ni dola milioni 37,940

7. Sudan
Pato la Taifa ni dola bilioni 112.552
Akiba ya fedha za kigeni ni dola milioni 202

8. Ethiopia
Pato la Taifa ni dola bilioni 109
Akiba ya fedha za kigeni ni dola milioni 3,382

9. Tunisia
Pato la Taifa ni dola bilioni 104
Akiba ya fedha za kigeni ni dola milioni 7,198

10. Ghana
Pato la Taifa ni dola bilioni 82.65
Akiba ya fedha za kigeni ni dola milioni 8,113

11. Libya
Pato la Taifa ni dola bilioni 76.52
Akiba ya fedha za kigeni ni dola milioni 120,900

12. Kenya
Pato la Taifa ni dola bilioni dola 53.40
Akiba ya fedha za kigeni ni dola milioni 5,541

13. Cameroon
Pato la Taifa ni dola bilioni dola 48.14
Akiba ya fedha za kigeni ni dola milioni 3,353

14. Tanzania
Pato la Taifa ni dola bilioni dola 41.33
Akiba ya fedha za kigeni ni dola milioni 4,758

15. Jamhuri ya kidemokrasia kongo
Pato la Taifa ni dola bilioni dola 32.69
Akiba ya fedha za kigeni ni dola milioni 5,239

16. Botswana
Pato la Taifa ni dola bilioni dola 29,707
Akiba ya fedha za kigeni ni dola milioni 7.993

17. Equatorial guinea
Pato la Taifa ni dola bilioni dola 26,147
Akiba ya fedha za kigeni ni dola milioni 4,027

18. Gaboni
Pato la Taifa ni dola bilioni dola 24,571
Akiba ya fedha za kigeni ni dola milioni 2,470

19. Mauritius
Pato la Taifa ni dola bilioni 19,270
Akiba ya fedha za kigeni ni dola milioni 3,919

20.Namibia
Pato la Taifa ni dola bilioni 25,743
Akiba ya fedha za kigeni ni dola milioni 2,267
chanzo.MziziMkavu

WA-DANGANYIKA UCHUMI MUNAO MUNAUKALIA. TANZANI NI NCHI MOJAWAPO TAJIRI

KATIKA BARA LA AFRICA
 
Namba 9 Tunisia pato la taifa dola bilioni 104. Botswana namba 16 pato la taifa dola bilioni 29,707. Mbona sijaelewa
 
Atleast tujipe moyo tu hata kwa uongo

Kama yale mambo ya utoto kudhania mshua anaweza kupiga kila mtu mtaani......siku mkitaitishwa mnabondwa wewe na mshua na maza....

Hongera Tanzania kwa "utajiri"
 
Back
Top Bottom