Wachumi hebu tufafanulieni hapa

jembelamkono

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
2,733
2,011
H
Screenshot_2017-05-18-23-03-35.png
ali ya meli bandarini kwa nchini kwetu hairidhishi,mpaka leo alhamisi ya tarehe 18/05/2017 saa tano kamili usiku 23:00pm ni kama ifuatavvyo.

Dar es salaam meli za mizigo/cargo + za mafuta/vessels=12

Mombasa meli za mizigo/cargo +za mafuta/vessels=35
Screenshot_2017-05-18-23-04-52.png
 
Bashite ataziteka, ndio maana zinakuja chache ashindwe kuziteka.

Nchi inaelekea pasipojulikana!!
 
Importers (Watanzania) or non) wakuagiza au kuingiza manufactured goods abroad mfano china, Japan, nk wamepungua, sababu
purchasing power imepungua, mzunguko Mdogo wapesa kwa sasa na jpm!
Vilevile importers Wa manufactured goods/inputs wanakimbizwa na kabali za kodi za jpm pale bandarini;
 
Mkuu kuna haja ya kuliangalia hili kwa kina mkuu.
 
Mkuu kuna haja ya kuliangalia hili kwa kina mkuu.
Jpm kucentralize economy itatupa shida sana, umasikini mkubwa kwa watu wengi unanukia, sababu sio Leo wala kesho atajenga viwanda vianze kuzalisha manufactured goods/inputs for exports!
 
Back
Top Bottom