nver gve up
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 247
- 117
Jaman nipata wazo la biashar kuwa gunia moja la alizeti ni tsh 30000 kutoka kijijin nataka kukamua mafuta na kwa gunia ni 25 lita sasa mimi nataka kusafirsha either dom or dar je nta pata wateja