Wanapeleka wapi ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanapeleka wapi ?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by MONTESQUIEU, Jan 11, 2011.

 1. M

  MONTESQUIEU JF-Expert Member

  #1
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 847
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hivi hawa mgambo wa city wakichukua vitu vya wamachinga vinaishia wapi?
  Na kwanini wachukue vitu.... Na sio watu?

  Mara nyingi nimepita kariakoo naona mgambo wamebeba mali za watu mbalimbali na hakuna watu waliokamatwa...

  Hii imekaaje?
   
 2. Mbwiga_Plus

  Mbwiga_Plus Senior Member

  #2
  Jan 11, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 163
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanapeleka kunako matumbo!
   
 3. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #3
  Jan 11, 2011
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  wanampelekea mkwere
   
 4. M

  MONTESQUIEU JF-Expert Member

  #4
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 847
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mbaya sana hii, wanawaonea sana hawa wafanya biashara ndogo ndogo!
   
Loading...