Proper Cribs (tusiogope kuitwa mafisadi) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Proper Cribs (tusiogope kuitwa mafisadi)

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Game Theory, Jan 8, 2011.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  Jan 8, 2011
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Sometimes mwaka jana Rev Kishoka alitoa mchoro wa nyumba anayotaka kujenga Bongo akaambiwa keshachakachua na ni fisadi.


  I care less alikotoa pesa maana inawezekana huko nje alipata mkopo au aliinvest akapata pesa sasa nichosema hapa kuwa kuhusu michoro considering mwenyewe yuko nje ya nchi simlaumu kuwa anataka nyumba kama anayoishi huko na pili inawezekana ikawa nyumba ni zuri zaidi na tatu ukiangalia the so called mahekalu yaliyojengwa Tanzania ni nyumba chache sana unaweza kusema zina hadhi japo pesa utaona zimetumika nyingi lakini nyumba bado ni mbaya.....

  Hivi how hard kwa hao the so called wenye pesa kujenga nyumba kama hiii Tanzania?

  BTW hii iko ABUJA kule NIGERIA

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
  http://abujahouses.com/abuja-beauty/

  Mimi ningependa watu tuwe open to new Ideas badala ya kumshuku kila mwenye kizuri ni fisadi.
   
 2. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #2
  Jan 8, 2011
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
   
 3. Masanja

  Masanja JF-Expert Member

  #3
  Jan 8, 2011
  Joined: Aug 1, 2007
  Messages: 3,595
  Likes Received: 3,761
  Trophy Points: 280
  Mkuu you are very right. Tatizo kubwa ni kwamba Ufisadi umeshatuaffect hata akili zetu. Leo hii msomi kwa mkulima, maskini kwa tajiri hakuna anayeamini kwamba unaweza kufanikiwa bila kuwa fisadi/mwizi/njia za mkato au kuiba mali ya umma hapa Tanzania. Na wote sasa tunajua kwamba ukitaka ufanikiwe ni vema ukawa karibu na system. Sasa jiulize hata kama umetafuta $$ huko ughaibuni..ukija kuinvest ni rahisi sana kuonekana kwamba wewe ni fisadi. Kikubwa we need also to change our mindset. Kuna hardworking people wanahangaika usiku kucha na wanaweza kujenga nyumba kama hizo hapo juu bila wasiwasi. Tatizo ndo hilo..hata akili zetu zimeshatufanya tuwe maskini wa kufikiri. Sadly, wengi wanaojenga nyumba nzuri au kuendesha magari mazuri..uki-dig deep..well utakuta kuna connection ya mikataba feki....kupewa tender kwa kujuana..Yaani sometime nikiifikiria bongo..I wonder whether we are serious at all kujenga taifa lenye vision kwa vizazi vijavyo.

  Juzi mimi nilishangaa kuona wananchi tunalia kwa nyumba anayojengewa spika Makinda. Honestly it is a normal house. Sema tatizo la viongozi wetu wamejaa unafiki na wanashindwa kuwa na moral authority ya kutetea yale wanayoyafanya. Otherwise mkuu, kama una mawazo ya kutumia jasho lako kujenga nyumba (crib as you call it) kama hiyo hapo juu..please do it..labda vijana kama sisi tutajifunza kwako kwamba tukihangaika tutafanikiwa bila kuiba na kuuza madawa ya serikali au pembejeo za wakulima.

  Its all possible.
   
 4. Mzuvendi

  Mzuvendi JF-Expert Member

  #4
  Jan 9, 2011
  Joined: Apr 28, 2009
  Messages: 443
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Slidingroof:

  You should definitely care where the money comes from. This is because expenditure goes hand in hand with the revenue, and you would not want to spend above your means.

  The houses you have shown us are great, but in long term the cost of maintaining those structures is higher than the one used to erect them. Therefore, you must have an economic model that not only builds but also provides sustenance in long terms. Ufisadi is not a tool for sustenance.

  Ufisadi or corruption is something you should hate. This is because it has negative economic and moral effects in any countries. For example, you play by the rules and you spent more than ten years of hard work to build the house. Definitely, your action would spur economic growth, and also encourage others to work very hard because they see the fruit of your labour. However, if you neighbors built their houses using income from illegal activities, they would indeed undermine your moral standards. Nobody would value your hard work. As you can see today in Tanzania, those who do well are suspected of being fisadis. They are no longer role models.

  In addition your neighbors will cause unnecessary inflation which indirectly will impact you and others who work hard and play by the rules. For example, today the values of properties in DSM have skyrockted. However, if you manage to decrease the level of corruption, the values would definitely drop and allow those who follow the rule of law to enjoy their labour. It's simple as that.
   
 5. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #5
  Jan 9, 2011
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  I concur mjomba

  will be back
   
 6. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #6
  Jan 9, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Kwani Rev Kishoka aliambiwa kachakachua pesa au kachakachua mchoro alouwasilisha?

  Michoro ina haki miliki mjue.
   
 7. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #7
  Jan 9, 2011
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Bora umekuja....najua kama michoro ina copyright

  mimi nina couple of ideas

  lakini tatizo langu nataka red bricks kama za ulaya....yaani iwe imekolea sana na tatizo Tanzania matofali niliyoyaona udongo au sijui ndio rangi haijakolea sasa hilo kwaza lisha ni put off maana its not same as ulaya...unless mtu uagize matofali fromSouth Africa au Kenya

  yale yaleeee FISADI.....

  will post picha punde
   
 8. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #8
  Jan 9, 2011
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Matofali nisiyo yataka ni haya

  na sijui kwa nini wau wanayapenda haya kuliko interlocking bricks


  [​IMG]
   
 9. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #9
  Jan 9, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Mbona hivyo ni vijumba vya kawaida kabisa? labda huijuwi Tanzania.
   
 10. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #10
  Jan 9, 2011
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Matofali dizaini hii kupata bongo ni sawa nakutafuta jasho la mbu


  sijui wafanya biashara wetu sio wabunifu au sijui ndio hawataki kuchukua risk kwa sababu wengi pesa ni zao binafsi na si za mkopo wa benki hata sielewi


  [​IMG]

  au haya mekundu

  [​IMG]
  [​IMG]
   
 11. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #11
  Jan 9, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  mkuu hizo nyumba ulizoonyesha hapo ambazo unasema ziko Nigeria.....hivi umetembea bongo vizuri?.....mahekalu yapo bana tena makali kuliko hizo picha hapo....na hayo matofali ya kuchoma yamejaa tele....we tangaza tenda uone
   
 12. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #12
  Jan 10, 2011
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,480
  Likes Received: 2,074
  Trophy Points: 280
  mtoa mada nadhani huijui Bongo vizuri maana hizo ulizoweka kwa Bongo ziko zaidi ya Mia mbili tena nyingi ni nzuri zaidi ya hizo tembea uone
   
 13. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #13
  Jan 10, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Wabongo wengine kulalaama kwiingi hata sijaona unachotaka kuongea! Wasiwasi wako nini? kama unavijisenti jenga nyumba yoyote unayotaka na hakuna mtu atakuulliza (kama una vyanzo vinaelewekai!), hakuna malighafi inayokosekana bongo, na usiponde mtu kutumia matofali ya kienyeji! JENGA WEWE KWA MATERIALS UNAZOONA ZINAFAA! Kuna watu wanaagiza mpaka MBAO!!!!! wewe vp bana.
   
 14. M

  Malila JF-Expert Member

  #14
  Jan 10, 2011
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Mimi siogopi kuitwa fisadi, kwa kuwa najitafutia kwa njia halali kabisa. Na mtu akiniita fisadi nakaa kimya kwa sababu hainiumi kwa sababu niko na uhakika na mapato yangu.

  Ugonjwa huu, umewapata wengi, hata kama mtu kanunua kagari used, siku hizi anaitwa fisadi !!!!!!!!.
   
 15. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #15
  Jan 10, 2011
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Mkoa wa Ruvuma kuna matofali unayotaka...
  [​IMG]
  Pichani ni Peramiho Songea
   
 16. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #16
  Jan 11, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0

  Wewe unafkiri mjenzi huyo, stori tuuu!
  Hizo tofali zipo kibao tu peramiho, tena zinatengenezwa na vijana wa chuo cha ufundi pale. na interlocking zimejaa karibia kila wilaya!! Anaogopa kuitwa fisadi: hajiamini na mapato yake, huenda kweli amepata pesa kwa njia za kifisadi!
   
 17. Shakazulu

  Shakazulu JF-Expert Member

  #17
  Jan 11, 2011
  Joined: Feb 23, 2007
  Messages: 940
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Mwenzenu kaweka picha nyie mnapiga soga tu. weka picha ili apate kuamini kuwa Bongo tambarare!!
   
 18. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #18
  Jan 12, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  hizi tofali zinatengenezwaje,kwani zina uwazi ndani,nimeangalia jamaa analivua hili box la kutengenezea ila sijajua huu uwazi unawekwaje,nadhani kwa aina hii ya tofali cement itatumika kidogo sana,na tofali kama hizi zinafaa kujenga banda la mifugo.
   
 19. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #19
  Jan 12, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,946
  Likes Received: 1,505
  Trophy Points: 280
  Bado sijaona nyumba Bongo zaidi ya nyumba zile za enzi ya Roma,kuna siku nitaweka crib ya Akon hapa au zile za kwa mzee madiba ,hapa nyumba ni zile square
   
 20. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #20
  Jan 12, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,946
  Likes Received: 1,505
  Trophy Points: 280
  Uzuri wa
  bongo hakuna sheria inayokuuliza umepata wapi ya kujenga kwa mfano hekalu la dola milioni moja wakati kipato chako ni Tsh laki sita,na isitoshe hilo hekalu limejengwa kwa cash kutoka mfukoni na si mkopo kutoka benki
   
Loading...