Kiwanja Tegeta | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiwanja Tegeta

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Lizzy, Jan 10, 2011.

 1. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #1
  Jan 10, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Wakuu kwa wale wanaofahamu naomba mnijulishe kiwanja cha kati ya heka moja na nusu na heka mbili maeneo ya Tegeta kinaweza kufikia bei gani????
  Asanteni!
   
 2. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #2
  Jan 10, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Tafuta madalali watakwambia
   
 3. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #3
  Jan 10, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,050
  Likes Received: 23,825
  Trophy Points: 280
  Nakushauri Sogea huku kwetu Bunju au sogea mbele kidogo Mapinga. Heka moja Tegeta huwezi kupata. Tegeta ushakuwa mji mama. Labda kama unataka kiwanja.
   
 4. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #4
  Jan 10, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mkuu pesa yake tu,anaweza kupata!!
   
 5. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #5
  Jan 10, 2011
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,481
  Likes Received: 2,072
  Trophy Points: 280
  Tegeta kupata heka moja na nusu iliyo wazi ni ngumu sana labda ununue nyumba mbili au zaidi ndio unaweza kupata eneo hilo pamekuwa mjini sana kiasi kwamba viwanja haviuzwi kwa heka tena ni mita kadhaa tu pia gharama yake inaweza kuwa kubwa sana ingawa sina uhakika mie nilitafuta miaka flani ya nyuma eneo la kujenga nyumba ilikuwa ina-rangi kuanzia milioni 25 mpaka 50 tena kama robo heka hivi
   
 6. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #6
  Jan 10, 2011
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  15 M Tshs hakina docs
   
 7. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #7
  Jan 10, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,461
  Likes Received: 5,846
  Trophy Points: 280
  Kwa Darisalama hili ni shamba....tegeta hakuna mashamba
   
 8. Sokwe Mjanja

  Sokwe Mjanja JF-Expert Member

  #8
  Jan 10, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Kiko sehemu gani kiongozi?
   
 9. Revolution

  Revolution JF-Expert Member

  #9
  Jan 10, 2011
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 567
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 60
  Hilo ni shamba sio kiwanja
   
 10. Mtumpole

  Mtumpole JF-Expert Member

  #10
  Jan 10, 2011
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,444
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  Labda baada ya kuusikiliza wimbo wa JEMBE NA PANGA!
   

  Attached Files:

 11. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #11
  Jan 10, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Huko mbali sana babu...labda kama utakua unanipa lift!Asante kwa ushauri lakini!
   
 12. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #12
  Jan 10, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Dah kumbe kuna bei hivyo?Mi nimepata nlitaka kujua kama kunalipa!Asante mkuu!!
   
 13. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #13
  Jan 10, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kwasababu ni kikubwa sana??Kipo bwana...
   
 14. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #14
  Jan 10, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mi nimepata tayari!Ila huyo anaeuza bila hati mtu atajuaje kama ni chake kweli?Ndo ile mtu umeanza kujenga unaletewa mmiliki mwingine!
   
 15. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #15
  Jan 10, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Usinunue kiwanja bila hati. Utaliwa.
   
 16. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #16
  Jan 10, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Ndo maana nikauliza mtu atajuaje kama anaeuza ndie mmiliki halali!
   
 17. shiumiti

  shiumiti JF-Expert Member

  #17
  Jan 10, 2011
  Joined: Jun 4, 2009
  Messages: 438
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Tegeta kumeharibika sana sasa.....asilimia nyingi ya watu wanaouza viwanja si vyao. Take care, usinunue kiwanja bila hati. Hata kama kuna hati, ulizia pia majirani kama wawili watatu kabla ya kununua......
   
 18. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #18
  Jan 10, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Asante!
   
Loading...