Deci ni kimeta? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Deci ni kimeta?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by ndume, Jan 12, 2011.

 1. n

  ndume Member

  #1
  Jan 12, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 78
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Jamani nyie wataalam mnaejuajua mambo mbona mko kimya kuhusu pesa ambazo wananchi tumepoteza pesa kule deci,jamani deci mbona imefanya mbaya na hatuelezani kesi ilipofikia?hivi kwa sababu zipi jambo la deci liogopwe kama ugonjwa wa kimeta?au ndio kusema kuna kitu kimejificha mgongoni kwa deci?
   
 2. M

  Malila JF-Expert Member

  #2
  Jan 12, 2011
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  Mkuu,
  Watz waliowekeza huko wameliwa kwishney. Kama uliwekeza huko,sahau kwa sababu utapata vidonda vya tumbo bure.
   
 3. Mpasuajipu

  Mpasuajipu JF-Expert Member

  #3
  Jan 12, 2011
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 838
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Pesa za DECI ndizo zilitumika kwa uchaguzi wa kifisadi uliodhulumu haki ya wananchi.

  Sasa zimewaishia na wanataka kutunyang'anya kwa kodi kubwa tulipie DOWANS ili wazidi kuneemeka MUNGU ATAWAPA STAHIKI YAO.

  Lakini malipo yako hapa hapa duniani kama ulipoteza utalipwa kwa njia nyingine.
   
 4. n

  ndume Member

  #4
  Jan 12, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 78
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  kwani huku kuanzishwa deci ulikuwa mpango maalum wa kunasa pesa zetu au wakubwa walizitamani tu pesa baada ya kuzishika zikitokea deci? jamani nielekezeni nijue.
   
Loading...